Simba SC vs Azam FC 2026 NMB Mapinduzi Cup/ Lineups, live score, prediction
Simba SC vs Azam FC ni mchezo unaofuata NMB Mapinduzi Cup. Hii ni hatua ya nusu fainali ya kwanza Uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 usiku. Mshindi wa mchezo…
Simba SC vs Azam FC ni mchezo unaofuata NMB Mapinduzi Cup. Hii ni hatua ya nusu fainali ya kwanza Uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 usiku. Mshindi wa mchezo…
Utamu unazidi kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Mashindano hayo yanayoendelea kutimua vumbi nchini Morocco, sasa yameingia katika hatua ya Robo Fainali. Tayari timu sita zimekwisha…
AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania ni matokeo rasmi mchezo wa hatua ya 16 bora. Wenyeji wanasonga mbele hatua ya robo fainali. Goli la ushindi limefungwa na Brahim Diaz dakika ya…
AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia kwa mujibu wa ripoti. Usiku wa kuamkia Januari 4 timu ya taifa ya Tunisia ilikwama kufuzu hatua ya robo fainali.…
Hatumwi mtoto dukani! Moto utawaka Jumapili hii nchini Morocco kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025. Ni mechi ya Morocco vs Tanzania inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Makala…
AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Aamir Abdallah alipachika goli la kuongoza kwa Sudan. Dakika ya 29 Senegal walisawazisha na kuongeza…
Taifa la Senegal limeandika rekodi mpya, ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Hii ni baada ya kuwa timu ya kwanza, kufuzu hatua ya Robo Fainali ya…