AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Aamir Abdallah alipachika goli la kuongoza kwa Sudan. Dakika ya 29 Senegal walisawazisha na kuongeza…
Taifa la Senegal limeandika rekodi mpya, ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Hii ni baada ya kuwa timu ya kwanza, kufuzu hatua ya Robo Fainali ya…