Simba SC vs RS Berkane CAF waipeleka Uwanja wa Amaan, Mei 25 2025 fainali ya maamuzi
Mchezo wa pili hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba SC vs RS Berkane ni rasmi utachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar badala ya Uwanja wa Mkapa kama ambavyo…
