Tuzo ya kipa bora 2024/25 Camara wa Simba SC na Diarra wa Yanga SC vitani
Tuzo ya kipa bora 2024/25 Camara wa Simba SC na Diarra wa Yanga SC vitani kuwania tuzo hiyo kutokana na kazi yao wanayoifanya ndani ya uwanja katika kutimiza majukumu yao.…
Tuzo ya kipa bora 2024/25 Camara wa Simba SC na Diarra wa Yanga SC vitani kuwania tuzo hiyo kutokana na kazi yao wanayoifanya ndani ya uwanja katika kutimiza majukumu yao.…
Aishi Manula anaondoka Simba SC kwa kuwa inaelezwa yupo kwenye rada za Azam FC kipa huyo. Ikiwa dili lake litajibu huenda akaondoka bure ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa…
Simba SC vs Singida Black Stars mchezo wa Ligi Kuu Bara Mei 28 2025 unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki kutokana na upinzani uliopo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
Aziz Ki ameanza kazi Wydad Casablanca akiwa ni kiungo mpya kwenye timu yake hiyo mpya mara baada ya usajili wake kukamilika akitokea Yanga SC ambapo huko ameacha rekodi. Ki Mei…
Simba SC 1-1 RS Berkane ya Morocco huku yatwaa ubingwa wa CAF Mei 25 2025 mbele ya wenyeji Simba SC kwenye ardhi ya Tanzania baada ya dakika 90 kukamilika katika…
Clement Mzize anafuata kuondoka Yanga SC baada ya Aziz Ki ambaye inaelezwa kuwa muda wowote atatangazwa kuwa mchezaji mpya wa Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco ambayo imeweka ofa kubwa…
Simba SC vs RS Berkane vita ya wababe wawili Uwanja wa Amaan Complex Mei 25 2025 kusaka bingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika kazi joto linazidi kupanda huku mzigo ukiwa…
Fainali ya Europa League ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa mchezo wa mpira ulimwenguni imefika tamati huku kila mmoja akishuhudia mchezo wenye ushindani mkubwa ndani ya dakika…
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa mpango mkubwa wa timu hiyo ni kutwaa taji la ubingwa Afrika, (CAF) kwenye mchezo wa hatua…