Simba SC ratiba, matokeo, msimamo NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

September 28, 2026
Simba SC ratibaChama tiziChama tizi
  • Simba SC ratiba yake 2026/27 ina mechi ngumu zenye ushindani ambazo zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa
  • Mchezo mkali unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026 ni Simba SC vs Yanga SC ambao ni Kariakoo Dabi
  • Kwenye msimamo Simba SC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 18 zote hazijapoteza mchezo

Kutoka Msimbazi, Simba SC ratiba ya mchezo unaofuata unasubiria kwa shauku kubwa kutokana na upinzani uliopo. Msimu wa 2026/27 ni timu mbili hazijapoteza zinatarajiwa kukutana kusaka pointi 3 muhimu. Simba SC vs Yanga SC watani hawa wa jadi watamenyana Oktoba 10, 2026, Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo unatarajiwa kushuhudia Kariakoo Dabi.

SOMA HII PIA: Kuelekea Simba SC vs Yanga SC: Takwimu za Kassali Premier League 2026/27

Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Screenshot ---------- ------

Hii hapa ratiba ya Simba SC mechi zijazo

 Simba SC ratiba
Chama- Oura na Mpanzu
TareheMchezo
Oktoba 10, 2026Simba SC vs Yanga SC
Oktoba 13, 2026Simba SC vs Mashujaa FC
Oktoba 23, 2026Simba SC vs Mbeya City
Oktoba 28, 2026Fountain Gate vs Simba SC

Matokeo ya Simba SC 2026/27

TareheMatokeo
Agosti 16, 2026Kagera Sugar 0-2 Simba SC
Agosti 19, 2016 Pamba Jiji FC 1-2 Simba SC
Agosti 22, 2026 Singida Black Stars 1-2 Simba SC
Agosti 27,2026Simba SC 1-0 Coastal Union
Agosti 31,2026 Simba SC 2-0 Geita Gold
Septemba 16, 2026Azam FC 0-2 Simba SC

SOMA HII: Simba SC 0-2 Azam FC ni matokeo yaliyovunja rekodi/ Ratiba ya mechi zijazo CAF Champions League

Msimamo wa NBC Premier League 2026/27

Msimamo wa Ligi Kuu Bara
Msimamo wa NBC Premier League 2026/27

Hitimisho

Simba SC ina ratiba ngumu ndani ya NBC Premier League 2026/27. Mchezo ujao dhidi ya Yanga SC unasubiriwa kwa shauku kubwa ikiwa ni Kariakoo Dabi. Mchezo uliopita Simba SC ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC. Endelea kucheza SportPesa uvune mabilioni.


Share this: