- Dakika chache zimesalia kuelekea kuanza kwa mechi ya Yanga SC vs Gaborone United.
- Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.
- Timu hizi zinaingia katika mchezo huu zikiwa na kumbukumbu ya matokeo ya Gaborone United 1-1 Yanga SC, kutoka mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Botswana.
- Makala hii inakuletea kikosi cha Yanga SC kinachoanza na odds kubwa kutoka Kampuni ya SportPesa.
Yanga SC vs Gaborone United ndiyo habari kubwa nchini ambapo zimesalia dakika chache kuelekea kuanza kwa mechi hiyo. Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Timu hizi zinaingia katika mchezo huu zikiwa na kumbukumbu ya matokeo ya Gaborone United 1-1 Yanga SC, kutoka mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Botswana. Makala hii inakuletea kikosi cha Yanga SC kinachoanza na odds kubwa kutoka Kampuni ya SportPesa.
UNAWEZA KUBASHIRI MECHI HII KWA KUBONYEZA HAPA CHINI

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA SC

KUJUA USAJILI MPYA WA YANGA SC, SOMA HII: Usajili Yanga SC 2026/27: Hawa hapa wachezaji wapya 5 wazawa

