- AS Far Rabat vs Yanga SC ni mchezo unaofuata hatua ya makundi
- Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26
- Hii hapa ratiba ya Yanga SC mechi mbili kundi B ugenini
Baada ya mechi nne matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26 yamebeba matumaini kwa Wananchi kusonga mbele. Ratiba ya mechi mbili hatua ya makundi zitaamua hatma ya timu hiyo. Yanga SC 1-1 Al Ahly ni matokeo ya mchezo wa mwisho kwa timu hiyo ikiwa nyumbani kwenye hatua ya makundi.
SOMA HII: Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions’ League group stage January 31/ Highlights, goal
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Haya hapa matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26

| 22/11/2025 | Yanga SC | 1 | 0 | AS Far Rabat |
| 28/11/2025 | JS Kabylie | 0 | 0 | Yanga SC |
| 23/01/2026 | Al Ahly | 2 | 0 | Yanga SC |
| 31/01/2026 | Yanga SC | 1 | 1 | Al Ahly |
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores

Msimamo wa kundi B

| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Al Ahly | 4 | 2 | 2 | 0 | 8 |
| 2. Yanga SC | 4 | 1 | 2 | 1 | 5 |
| 3. AS Far | 3 | 0 | 2 | 1 | 2 |
| 4.Kabylie | 3 | 0 | 2 | 1 | 2 |
Ratiba mechi za Yanga SC CAF
| 7/02/2026 | AS Far Rabat | vs | Yanga SC |
| 13/02/2026 | Kabylie | vs | Yanga SC |
Hitimisho
Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26 yametokana na wachezaji kujituma uwanjani. Licha ya kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo wanalingana pointi na AS Far Rabat. Ni timu mbili zinatoka kila kundi ikiwa kutakuwa na mlingano wa pointi h2h kwenye mashindano husika hutazamwa kumpata mshindi.

