- Ni Kagera Sugar vs Simba SC NBC Premier League 2026/27
- Uwanja wa Kaitaba, Bukoba wababe hawa wanakutana kusaka pointi 3 muhimu
- Ibrahim Doumbia anaongoza safu ya ushambuliaji ya Simba SC ikiwa ni mchezo wake wa kwanza ndani ya ligi
Kagera Sugar vs Simba SC NBC Premier League 2026/27 ni mchezo wa kwanza kwa timu hizi ndani ya msimu mpya. Agosti 16,2026 saa 10:00 unapigwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Wenyeji wamepanda Ligi Kuu Bara kutoka Championship chini ya Kocha Mkuu, Juma Kaseja.
NBC Premier League ratiba: NBC Premier League 2026/27 match week 1 | Namungo FC vs Yanga SC | Kagera Sugar vs Simba SC | SportPesa Blog
Bado hujashinda? Cheza na ushinde mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa
Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Kagera Sugar vs Simba SC NBC Premier League taarifa muhimu

Mchezo: Kagera Sugar vs Simba SC
Mashindano: NBC Premier League
Siku: Jumapili
Uwanja: Kaitaba
Muda: Saa 10:00 jioni
Kikosi cha Kagera Sugar vs Simba SC
Said Kipao
David Luhende
Andrew Vincent
Hassan Mwaterema
Dickson Mhilu
Daud Milandu
Fredy Steven
Evastus Jali
Mudathir Said
Salehe Kambenga
Kassim Feka
Kikosi cha Simba SC vs Kagera Sugar
Kassali
Duchu
Kibabage
Toure
De Reuck
Yusuph Kagoma
Gueye
Jabaar
Doumbia
Morice
Oura
Hitimisho
Kagera Sugar vs Simba SC ni mchezo mkali kwa wababe wawili ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Mnyama anaanza kampeni kusaka ubingwa unaotafutwa na Kagera Sugar pia. Mchezo wa mwisho walipokutana Uwanja wa Kaitaba ubao ulisoma Kagera Sugar 2-5 Simba SC

