HT:Yanga SC 0-0 MC Alger CAF Champions League 28/11/2026 | New Amaan Complex | Live score | Lineups

ByLunyamadizo Mlyuka

November 28, 2026
Yanga SC 0-0 MC AlgerHTHT
  • Mapumziko:Yanga SC 0-0 MC Alger CAF Champions League hatua ya makundi kwa Kundi B.
  • Kwa habari za papohapo za Yanga SC vs MC Alger fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
  • Fadlu Davids ameanza na kikosi chenye wachezaji muhimu akiwemo Peter Shalulile, Aziz Ki, Duke Abuya.

Wababe wawili wapo kazini huku ubao ukisoma Yanga SC 0-0 MC Alger dakika 45 za mwanzo.Chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids vijana wa Jangwani wameanza kwa kasi kusaka ushindi.Huu ni mchezo wa kwanza hatua ya makundi kwa Kundi B unapigwa Uwanja wa New Amaan Complex.

SOMA HII PIA:Yanga SC vs MC Alger:CAF Champions League | H2H | Prediction | Live score

Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

image

Yanga SC 0-0 MC Alger

KipengeleMaelezo
MashindanoCAF Champions League
MatokeoHT:Yanga SC 0-0 MC Alger
UwanjaNew Amaan Complex, Zanzibar
Tarehe27/11/2026
Timu mwenyejiYanga SC

Kikosi cha Yanga SC vs MC Alger

Kipa: Djigui Diarra. Mabeki:Ibrahim Bacca, Dickson Job, Yao Kouassi,Chadrack Boka.Viungo:Duke Abuya, Mudathir Yahya. Washambuliaji Aziz Ki, Peter Shalulile, Albert Kangwanda, Clement Mzize.

Wachezaji wa akiba: Bakari Nondo, Cheikh Toure, Hussein Zakouani Said, Mohamed Hussen, Aboutwalib Mshery, Salum Abubakar, Erick Mwijage, Abdala Seleman Mwalimu, Ibrahim Kazimoto.

Kikosi cha MC Alger vs Yanga SC

Abdelatif Ramdane, Merwane Khelif, Ayoub Abdellaoui, Mohammed Benkhemassa, Zineddine Ferhat, Mohamed Zougrana, Mohamed Saliou, Ayoub Ghezala, Mohamed Reda, Zakaria Naidji, Oussama Benhaoua.

Wachezaji wa akiba ni Yakoub Gassi, Soufiane Bayazid, Ali Ahmed, Mahdi, Yassine Gourari, Chahreddine Boukholida, Islam, Merouane, Abdelkader.

Share this: