JKT Tanzania vs TRA UnitedJKT vs TRA
  • JKT Tanzania vs TRA United NBC Premier League 2026/27 Agosti 16,2026
  • Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo, saa 2:30 usiku mchezo utapigwa kwa wababe hawa wawili
  • Hamad Ally, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amewaita mashabiki kushuhudia burudani

Ni JKT Tanzania vs TRA United NBC Premier League ni leo Agosti 16 saa 2:30 usiku. Wababe hawa wawili wanatarajiwa kusaka pointi 3, Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo. Timu zote zinahitaji kufungua msimu mpya kwa kuvuna pointi tatu muhimu.

Hii hapa ratiba ya NBC Premier League: NBC Premier League 2026/27 match week 1 | Namungo FC vs Yanga SC | Kagera Sugar vs Simba SC | SportPesa Blog

JKT Tanzania vs TRA United suka mkeka na SportPesa

Ni muda wa kutengeneza mkeka wako sasa uvune mkwanja kupitia SportPesa. Kubashiri mchezo wa JKT Tanzania vs TRA United, bofya link hapa chini. Beti kwa ustaarabu.

JKT Tanzania
JKT Tanzania vs TRA United

JKT Tanzania vs TRA United NBC Premier League taarifa muhimu

JKT Tanzania vs TRA United
Mzamiru Yassin kiungo wa TRA United

Mchezo: JKT Tanzania vs TRA United

Uwanja: Meja Jeneral Isamuhyo

Muda: Saa 2:30 usiku

Mashindano: NBC Premier League

Jukwaa la kubashiri: SportPesa

JKT Tanzania vs TRA United taarifa za timu

Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Hamad Ally ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kwanza. Ameongeza kuwa kikubwa wataingia uwanjani kutafuta matokeo. Kuhusu wachezaji alibainisha wote wapo kamili.

“Sina zaidi cha kusema zaidi yakusema kwamba huu ni mwanzo wa ligi. Tunaanza nyumbani na tunahitaji kuona namna gani tunajitahidi kutoa nguvu zaidi. tutawafurahisha zaidi ambao watakuja mashabiki. Kwa Dar utakuwa mchezo mmoja pekee utakaochezwa hapa hivyo ni muda wa kila shabiki kujitokeza uwanjani.

Kocha Mkuu wa TRA United, Etienne Ndayiragije amesema wataingia uwanjani kwa tahadhari. Ameogeza kwamba wachezaji wanajua umuhimu wa mchezo wa kwanza ugenini.

“Tutakuwa ugenini ni mchezo muhimu kwetu.Wachezaji wanatambua umuhimu wa mchezo wetu. Tutapambana kupata matokeo mazuri. Kikubwa ni kuanza na ushindi kwenye mchezo wa kwanza.

H2H JKT Tanzania vs TRA United

TareheMashindanoMechiMatokeo
25/10/2023Ligi KuuJKT Tanzania vs TRA United1 – 0 (JKT Washinda)
13/04/2024Ligi KuuTRA United vs JKT Tanzania1 – 1 (Sare)
04/06/2024Ligi KuuTRA United vs JKT Tanzania0 – 4 (JKT Washinda)
18/10/2024Ligi KuuJKT Tanzania vs TRA United4 – 2 (JKT Washinda)
07/03/2025Ligi KuuTRA United vs JKT Tanzania1 – 2 (JKT Washinda)
26/11/2025Ligi KuuJKT Tanzania vs TRA United1 – 0 (JKT Washinda)
12/05/2026Ligi KuuTRA United vs JKT Tanzania1 – 1 (Sare)

Katika mechi 7 walizokutana kwenye ligi ushindi JKT Tanzania mechi 5, TRA United ushindi 0, sare 2. Mabao yamefungwa 19, JKT Tanzania mabao 14 na 5 TRA United.

Hitimisho

JKT Tanzania vs TRA United unawakutanisha wababe waliomaliza ndani ya 10 bora 2025/26. Wenyeji walimaliza wakiwa nafasi ya 6 na pointi 42. Wakusanya mapato walimaliza wakiwa nafasi ya 5 na pointi 43.

Share this: