Namungo FC 1-3 Yanga SC NBC Premier League | Peter Shalulile, Maxi Nzengeli, Boka | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

August 16, 2026
Simba SC vs Yanga SC: Wakali wa mipira ya kutengaBokaBoka
  • FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC NBC Premier League, Agosti 15,2026 Uwanja wa Majaliwa
  • Peter Shalulile afungua akaunti ya mabao NBC, Boka mfungaji wa bao la kwanza Yanga SC 2026/27
  • Maxi Nzengeli atwaa tuzo ya Man of the match
  • Herbert Lukindo mchezaji wa kwanza kumfuga kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra

Namungo FC 1-3 Yanga SC NBC Premier League ni matokeo rasmi mchezo wa kwanza kwa mabingwa watetezi Agosti 15,2026. Mchezo huo mkali ulichezwa Uwanja wa Majaliwa. Bao la kwanza kwa Yanga SC limefungwa na Cadrack Boka dakika ya 68 kipindi cha pili.

Ratiba ya NBC Premier League: NBC Premier League 2026/27 match week 1 | Namungo FC vs Yanga SC | Kagera Sugar vs Simba SC | SportPesa Blog

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege

Una nafasi yakushinda mamilioni ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini.

SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million
SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million

Namungo FC 1-3 Yanga SC NBC Premier League 2026/27 taarifa muhimu

Namungo FC 1-3 Yanga SC
Maxi Nzengeli mchezaji bora wa mchezo

Matokeo: Namungo FC 1-3 Yanga SC, NBC Premier League 2026/27

Uwanja: Majaliwa

Mashindano: NBC Premier League

Mshindi: Yanga SC

Wafungaji: Herbet Lukindo dakika ya 76 kwa Namungo FC, Chadrack Boka dakika ya 68, Maxi Nzengeli dakika ya 60 na Peter Shalulile dakika ya 89.

Mchezaji bora: Maxi Nzengeli wa Yanga SC.

Hitimisho

Namungo FC 1-3 Yanga SC ni mchezo wa kwanza kwa wababe hawa kwa msimu mpya wa 2026/27. Unakuwa ni mchezo wa 15 jumla kukutana ndani ya ligi. Ushindi Jangwani ni kwenye mechi 10 na sare 5 huku Namungo FC ikiwa haijawahi shinda katika mechi 15.

Share this: