Yanga SC 0-1 MC Alger CAFFTFT
  • FT:Yanga SC 0-1 MC Alger CAF Champions League imechezwa saa 10:00 jioni hatua ya makundi kwa Kundi B.
  • Kwa habari za papohapo za Yanga SC fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
  • Bao la ushindi limefungwa na Soufiane Biyazad dakika ya 89 limewapa pointi 3 muhimu wageni, Uwanja wa New Amaan Complex.

Mchezo umekwishwa matokeo rasmi ikiwa Yanga SC 0-1 MC Alger CAF Champions League, Uwanja wa New Amaan Complex. Bao la ushindi limefungwa na Soufiane Biyazad dakika ya 89 28/11/2026.Mbinu za Kocha Mkuu Karim Dalhoum zimeshinda mbele ya Fadlu Davids kocha wa Yanga SC.

SOMA HII PIA:Klabu ya Yanga SC ni Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27 | Maoni ya Fadlu

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege kwa shilingi 1

Una nafasi yakushinda mpaka milioni 800 ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja kwa kuanzia shilingi 1 tu na kuna zawadi kibao zinakusubiri. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini uanze safari:-

image

Yanga SC 0-1 MC Alger CAF Champions League taarifa

Yanga SC vs MC Alger

KipengeleMaelezo
MashindanoCAF Champions League
MatokeoYanga SC 0-1 MC Alger
UwanjaNew Amaan Complex, Zanzibar
Tarehe27/11/2026
Timu mwenyejiYanga SC

H2H Yanga SC vs MC Alger

Januari 15,2027, MC Alger vs Yanga SC

Novemba 28,2026 Yanga SC 0-1 MC Alger

Januari 18, 2025 Yanga SC 0-0 MC Alger

Desemba 7, 2024, MC Alger 2-0 Yanga SC

SOMA HII PIA:HT:Yanga SC 0-0 MC Alger CAF Champions League 28/11/2026 | New Amaan Complex | Live score | Lineups

Hitimisho

Yanga SC 0-1 MC Alger CAF Champions League pointi tatu wakiondoka nazo wageni.Ushindi huo unawapa uongozi MC Alger katika Kundi B ikiwa na pointi 3.Watoto wa Jangwani wapo nafasi ya 4 wakiwa hawajakusanya pointi. Zamalek na Club Africain ni timu ambazo zipo kundi moja na Yanga SC.

Share this: