A- DialloA- Diallo
  • Curacao vs Ivory Coast Kombe la Dunia 2026, ni karata ya mwisho kwa timu hizi za Kundi E la mashindano hayo.
  • Mechi hii itapigwa pale Uwanja wa Philadelphia 25 June 2026 saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
  • Baada ya kuchapwa 2-1 dakika za mwishoni dhidi ya Ujerumani je, mastaa Ousmane Diomande na Amad Diallo wataweza kuipeleka Ivory Coast mtonao?
  • Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.

Wakiwa na pointi 1 tu, mkiani mwa msimamo wa Kundi E, Curacao wataikaribisha Ivory Coast iliyo kwenye nafasi ya 2 kwenye Kundi hilo na pointi zao 3.  Mechi hii itapigwa Uwanja wa Philadelphia 25 June 2026 saa tano usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Hii inatarajiwa kuwa mechi ya kufa na kupona ambayo imebeba majaaliwa ya safari ya hatua ya mtoano. Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.

Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Curacao vs Ivory Coast

Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Curacao vs Ivory Coast
Curacao vs Ivory Coast

Muhtasari wa mechi ya Curacao vs Ivory Coast

Amad (-)
Amad
KipengeleMaelezo
MchezoCuracao dhidi ya Ivory Coast
MashindanoFainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026
KundiKundi E
Tarehe ya mchezoAlhamisi, 25 Juni 2026
Muda wa kuanzaSaa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)
Uwanja utakaotumikaPhiladelphia Stadium
MahaliPhiladelphia, Marekani
Hatua ya mashindanoMechi ya tatu ya hatua ya makundi
Umuhimu wa mchezoMchezo huu una uzito mkubwa kwani utaamua hatima ya Curacao na Ivory Coast katika harakati za kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya mtoano kutoka Kundi E.

KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII PIA: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Utabiri wa Matokeo (ushindi kwa Ivory Coast)

Curacao wakishangilia bao
Curacao wakishangilia bao

Kwa kuzingatia uchambuzi wa takwimu za ubora, utimamu wa wachezaji na matokeo ya nyuma maoni yetu ya kiuhariri mchezo huu unaipa nafasi kubwa Ivory Coast kushinda. Huu ni mchezo wa mzunguko mwisho wa hatua ya makundi, ndani ya Kundi E. Curacao wanaingia katika mchezo huu wakiwa mkiani mwa msimamo, hii ni baada ya kuambulia pointi moja tu, katika mechi 2 za kwanza. Ivory Coast wao wanaingia katika mechi hii wakiwa wanakamatia nafasi ya pili, kwenye msimamo na pointi zao 3, hivyo mechi hii itatoa majibu ya nani anakwenda hatua ya 32 bora.

Wapi kwa kutazama (How to watch) Curacao vs Ivory Coast Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Curacao vs Ivory Coast kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Habari za vikosi

Timu zote mbili zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa zimetoa ripoti ya kutokuwa na majeruhi. Hivyo matarajio makubwa ni kuona wakianza na vikosi vilevile. Ikumbukwe hizi ni taarifa za awali, hivyo taarifa rasmi juu ya hali ya majeruhi kwenye vikosi zitatolewa saa chache kabla ya mchezo.

Vikosi vinavyotarajiwa Curacao vs Ivory Coast

Ivory Coast

Kikosi cha Ivory Coast
Kikosi cha Ivory Coast
NafasiWachezaji
KipaYahia Fofana
MabekiWilfried Singo, Odilon Kossounou, Emmanuel Agbadou, Ghislain Konan
ViungoFranck Kessie, Ibrahim Sangare, Christ Oulai
WashambuliajiAmad Diallo, Ange-Yoan Bonny, Yan Diomande

Curacao

NafasiWachezaji
KipaEloy Room
MabekiJoshua Brenet, Jurien Gaari, Armando Obispo, Sherel Floranus, Deveron Fonville
ViungoTahith Chong, Livano Comenencia, Leandro Bacuna, Juninho Bacuna
WashambuliajiJurgen Locadia

KUJUA RATIBA YA MECHI INAYOFUATA YA QATAR, SOMA HII: Prediction Bosnia na Herzegovina vs Qatar Kombe la Dunia 2026: H2H, odds, Kundi B

Rekodi ya Curacao vs Ivory Coast H2H

Curacao vs Ivory Coast Kombe la Dunia 2026
Curacao

Huu utakuwa mchezo wa kwanza kabisa kati ya South Africa vs South Korea, kwani kwa rekodi ya sasa hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote hapo awali.

Fomu za hivi karibuni

Curacao

TareheMchezoMatokeoHali
21 Juni 2026Ecuador dhidi ya Curacao0-0Sare
14 Juni 2026Ujerumani dhidi ya Curacao7-1Curacao ilifungwa
7 Juni 2026Curacao dhidi ya Aruba4-0Curacao ilishinda
30 Mei 2026Scotland dhidi ya Curacao4-1Curacao ilifungwa
31 Machi 2026Australia dhidi ya Curacao5-1Curacao ilifungwa

Ivory Coast

TareheMchezoMatokeoHali
20 Juni 2026Ujerumani dhidi ya Ivory Coast2-1Ivory Coast ilifungwa
15 Juni 2026Ivory Coast dhidi ya Ecuador1-0Ivory Coast ilishinda
4 Juni 2026Ufaransa dhidi ya Ivory Coast1-2Ivory Coast ilishinda
31 Machi 2026Ivory Coast dhidi ya Scotland1-0Ivory Coast ilishinda
28 Machi 2026Korea Kusini dhidi ya Ivory Coast0-4Ivory Coast ilishinda

Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unayapa nafasi kubwa matokeo ya ushindi kwa Ivory Coast kwenye mchezo huu, hii ni kutokana na tathmini ya ubora wa vikosi na kimbinu. Mechi hi itaamua nani anakwenda hatua inayofuata na Curacao wanahitaji matokeo ya ushindi ili kufuzu na Ivory Coast wao Wakisaka nafasi ya mtoano kwa mara ya kwanza katika historia. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Curacao vs Ivory Coastkwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Maswali muhimu kuhusu Curacao vs Ivory Coast

Curacao vs Ivory Coast inachezwa lini na saa ngapi?

Timu hizi zitakutana Alhamisi, Juni 25, Uwanja wa Philadelphia ambapo mechi itaanza Saa tano usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Je, Curacao vs Ivory Coast zimewahi kukutana hapo awali?

Hapana, timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mechi yoyote hapo kabla kwa rekodi zilizopo, hivyo huu utakuwa mkutano wao wa kwanza wa kihistoria.

Curacao vs Ivory Coast zipo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?

Timu zote mbili zipo Kundi E pamoja na Germany na Ecuador

KUJUA RATIBA YA MECHI INAYOFUATA YA MEXICO, SOMA HII: Utabari wa Czechia vs Mexico: Kombe la Dunia 2026 – Kundi A

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.