Czechia vs South AfricaKikosi cha South Africa

Czechia vs South Africa: Utabiri, muda, vikosi, h2h na odds

  • Czechia vs South Africa, mechi ya pili ya Kundi A Kombe la Dunia 2026, ambayo itapigwa kwenye Uwanja wa Atlanta, tarehe 18 June 2026, saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
  • Kwa kuangalia uchambuzi wa kina wa Opta Analyst, Czechia wanapewa nafasi kubwa ya asilimia 54.5 kushinda dhidi ya South Africa yenye asilimia 20.1
  • Mechi hii inawakutanisha timu mbili ambazo zote zimetoteza mechi zao za kwanza je, nani wataibuka na ushindi kwenye mchezo huu?
  • Fuatilia kiundani taarifa ya mechi Czechia vs South Africa kupata; livescores, prediction, stats, results kupitia SportPesa Blog.

Czechia vs South Africa inakuwa mechi ya pili ya Kundi A kwa timu hizo kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi hii itapigwa tarehe 18 Juni 2026 nchini USA. Mechi hii inakutanisha timu ambazo zilipoteza mechi zao za kwanza kwa matokeo ya Mexico 2-0 South Africa na South Korea 2-1 Czechia. Nakala hii inaangazia habari za sasa kuhusu mchezo huu wa Kundi A la Kombe la Dunia la FIFA 2026, ikiwemo; utabiri takwimu na matokeo.

Updated: Czechia vs South Africa team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi I Kombe la Dunia 2026.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Taarifa muhimu za mechi Czechia vs South Africa

Czechia vs South Africa
Czechia vs South Africa

Jedwali la Taarifa za Mechi

KipengeleMaelezo
MechiCzechia vs South Africa
MashindanoKombe la Dunia la FIFA 2026
KundiKundi A
Tarehe18 Juni 2026
UwanjaAtlanta
Jina Lingine la UwanjaMercedes-Benz Stadium,
Muda wa Afrika Mashariki (EAT)Saa moja usiku
Yaliyomo Kwenye MakalaUtabiri wa mechi, habari za timu, vikosi vinavyotarajiwa kuanza, rekodi za kukutana (H2H), matokeo mubashara (live score) na odds za ushindi
Jukwaa la KubashiriSportPesa

Kuhusu ratiba ya mechi zote 104 za Kombe la Dunia 2026, soma hii: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Czechia vs South, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

WhatsApp Image ---------- at --------

Utabiri na uchambuzi wa mechi ya Czechia vs South Africa

Timu zote mbili zinaingia uwanjani katika Uwanja wa Uwanja wa Atlanta ukijulikana pia kama Mercedes-Benz, zikiwa na hatima ya safari yao ya Kombe la Dunia 2026 mikononi mwao. Timu zote mbili zilipoteza mechi zao za kwanza za Kundi A, hii inawaweka kwenye hatari ya kuondolewa mapema. Mexico na Korea Kusini tayari zina pointi tatu. Sare inaweza kuwa mbaya kwa timu zote mbili, kwani itahitaji miujiza kwenye mechi za mwisho ili kufuzu hatua ya mtoano.

Czechia vs South Africa H2H

Timu hizi zimekutana mara moja tu, katika historia yao. Hii ilikuwa mwaka 1997, katika mashindano ya Kombe la Mabara. Mchezo huu uliisha kwa sare ya mabao 2-2. Hivyo, fomu ya sasa, ubora wa vikosi na nidhamu ya mbinu, vitakuwa muhimu zaidi.

Table hii inachambua kwa urahisi fomu ya Czechia vs South Africa

Fomu ya Czechia kabla ya mechi

Matokeo 5 ya Mwisho ya Czechia (Czech Republic)

MatokeoMechiTareheMashindano
KichapoSouth Korea 2–1 Czechia11 Juni 2026Kombe la Dunia 2026 (Kundi A)
UshindiCzechia 3–1 Guatemala4 Juni 2026Mechi ya Kirafiki
UshindiCzechia 2–1 Kosovo31 Mei 2026Mechi ya Kirafiki
SareCzechia 2–2 Denmark31 Machi 2026Kufuzu Kombe la Dunia (Walishinda 3–1 kwa penalti)
SareCzechia 2–2 Republic of Ireland26 Machi 2026Kufuzu Kombe la Dunia (Walishinda 4–3 kwa penalti)

Fomu ya South Africa kabla ya mechi

MatokeoMechiMashindano
KichapoSouth Africa 0–2 MexicoKombe la Dunia la FIFA 2026
SareSouth Africa 1–1 JamaicaMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
SareSouth Africa 0–0 NicaraguaMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
KichapoSouth Africa 1–2 PanamaMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
SareSouth Africa 1–1 PanamaMechi ya Kirafiki ya Kimataifa

Vikosi vinavyotarajiwa kuanza

Hivi ni vikosi vinavyotarajiwa kuanza kulingana na fomu ya wachezaji, taarifa za awali za timu na mwenendo wa mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitathibitishwa karibu na muda wa mchezo.

Czech Republic

Baadhi ya matukio ya mechi iliyopita ya Czechia
Baadhi ya matukio ya mechi iliyopita ya Czechia
NafasiWachezaji
KipaJindřich Staněk
WalinziVladimír Coufal, Jakub Zima, Ladislav Krejčí, David Jurásek
ViungoTomáš Souček, Lukáš Sadílek, Pavel Šulc, Lukáš Provod, Adam Hložek
MshambuliajiPatrik Schick

South Africa

NafasiWachezaji
KipaRonwen Williams
WalinziThapelo Mudau, Siyabonga Sibisi, Rushwin Dortley Okon, Aubrey Modiba
ViungoTeboho Mokoena, Oswin Appollis, Evidence Makgopa, Sabelo Mbatha
WashambuliajiRelebohile Mofokeng, Lyle Foster

Kuhusu utabiri na uchambuzi wa mechi ya Saudi Arabia vs Uruguay, soma hii: Saudi Arabia vs Uruguay Kombe la Dunia 2026 l utabiri Kundi H

Habari za timu na majeruhi

Kwa taarifa za awali mpaka sasa vikosi vya timu zote havina majeruhi japo wapo wachezaji wanaotumikia adhabu. Taarifa sahihi zaidi zitatolewa saa chache kuelekea mchezo huu. Hii inatarajiwa kufanywa na mabenchi ya ufundi.

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil
Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator

Czechia vs South Africa utabiri Kombe la Dunia 2026 (Utabiri wetu: Czechia 2-0 South Africa)

Msimamo wa Kundi A
Msimamo wa Kundi A

Uchambuzi unaonyesha Czech Republic wna karibu robo 3 kushinda mechi hii. Wana ubora mkubwa zaidi wa kikosi na wachezaji kulinganisha na wapinzani wao South Africa. Huu ni mtazamo wa kiuhariri, si matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.

Kuhusu ratiba ya mechi za Brazili za Kombe la Dunia 2026, soma hii: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

Hitimisho:

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa Czechia nafasi ya kushinda 2-0 dhidi ya South Africa. Afrika Kusini wanatarajia kusumbuliwa kwa baadhi ya mastaa wao muhimu walioonyeshwa kadi nyekundu mechi ya kwanza. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Czechia 2-0 South Africa kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Czechia vs South Africa live score na matokeo

Czechia vs South Africalive score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi A baada ya mechi.

Maswali muhimu yanayoulizwa kuhusu mchezo huu

Mechi ya Czechia vs South Africa itachezwa lini?

Mechi hii itapigwa Tarehe 18 June 2026 saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Czechia vs South Africa ni kundi gani?

Huu ni mchezo wa Kundi A kwenye Kombe la Dunia 2026.

Iraq vs Norway zimewahi kukutana?

Timu hizi zimewahi kukutana mara moja pekee, hii ilikuwa katika mashindano ya Kombe la Mabara ambapo mchezo huo uliisha kwa sare.

Utabiri wa Czechia vs South Africa ni upi?

Utabiri wetu wa kiuhariri ni Czechia 2-0 South Africa

Czechia vs South Africa itachezwa uwanja gani?

Mechi hii itachezwa Uwanja wa Atlanta.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Czechia vs South Africa

Mashabiki wanaweza kufuatilia Czechia vs South Africa kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.