France vs SenegalFrance vs Senegal

France vs Senegal prediction: Utabiri, muda, vikosi, h2h na odds

  • France vs Senegal ni mechi ya Kundi I ya Kombe la Dunia 2026, ambayo itapigwa kwenye Uwanja wa MetLife (New York/ New Jersey) tarehe 16 June 2026, saa nne usiku kwa (saa za Afrika Mashariki).
  • Kulingana na uchambuzi wa kina wa Opta Analyst, France wanapewa kipaumbele cha asilimia 64.8 kushinda dhidi ya Senegal yenye asilimia 14.9.
  • Je, Senegal wataendeleza unbeaten rekodi yao dhidi ya France kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026?
  • Fuatilia kiundani France vs Senegal livescores, prediction, stats, results kupitia SportPesa Blog.

France vs Senegal ndiyo mechi ya kwanza ya Kundi I ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 itakayopigwa tarehe 16 Juni 2026 nchini USA. Wachezaji mahiri ikiwemo; Kylian Mbappe (France), Michael Olise (France), Sadio Mane (Senegal), Kalidou Koulibaly (Senegal) na mastaa wengine wanatarajiwa kushiriki kwenye mchezo huu wa kihistoria. Ikumbukwe kwamba Ufaransa haijawahi kuifunga Senegal katika mashindano yoyote yaliyopita ya Kombe la Dunia. Kwenye nakala hii, tunakuandalia habari za sasa kuhusu mchezo huu wa Kundi I la Kombe la Dunia la FIFA 2026 ikiwemo; utabiri takwimu na matokeo.

Updated: France vs Senegal team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi I Kombe la Dunia 2026.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Taaarifa muhimu za mechi France vs Senegal

KipengeleTaarifa
MechiFrance vs Senegal
MashindanoFIFA World Cup 2026
KundiKundi I
TareheJuni 16, 2026
UwanjaNew York/New Jersey Stadium
Jina lingine la uwanjaMetLife Stadium
Muda wa EATSaa 4 usiku
Makala inahusuPrediction, utabiri, team news, lineups, H2H, live score na odds
Betting platformSportPesa

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya France vs Senegal, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Twenzetu duniani
Twenzetu duniani

Utabiri na uchambuzi wa mechi ya France vs Senegal

Kikosi cha Senegal (-)
Kikosi cha Senegal

Ingawa wengi wanaipa Ufaransa nafasi kubwa ya kumaliza kileleni mwa Kundi I, Senegal ambao bado wanashikilia Kombe la Ubingwa wa Afrika 2025 ambao walitangazwa kuvuliwa huenda wakabadili mwelekeo wa kundi hilo. Hivyo, mchezo huu wa kwanza utakuwa na umuhimu mkubwa, kwa timu zote 2. Ikumbukwe Senegal ni miongoni mwa wawakilishi bora, wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kufika mbali.

Kwa ratiba kamili ya mashindano, soma hii: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Ufaransa

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps aliyeanza kuinoa timu hiyo Julai 2012, ataondoka baada ya mashindano haya.  Kocha huyo ameiongoza Ufaransa katika safari ya mechi 6 za kusaka nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia, ambapo Ufaransa ilishinda mechi 5 na kutoa sare mechi moja. Katika rekodi hiyo ya kutofungwa Ufaransa wamefunga mabao 16 na kuruhusu mabao 4 tu.

Ufaransa ni miongoni mwa vikosi vyenye Nyota wengi wakubwa, Kylian Mbappé mwenye mabao 56 katika mechi 98 za kimataifa, anatarajiwa kuongoza Kundi la mastaa wengine hatari. Baadhi ya mastaa hao ni mchezaji bora wa Dunia Ousmane Dembele, Michael Olise nk. Kati ya michuano 6 iliyopita ya Kombe la Dunia, Ufaransa imecheza Fainali mara 4 na kufanikiwa kushinda ubingwa mara 2.

Senegal

Senegal wanaofahamika kama Simba wa Teranga kwa jina la utani, ni miongoni mwa timu za Afrika zenye rekodi ya pekee ya Kombe la Dunia. Wamefanikiwa kufuzu katika Makala 4 za mashindano hayo, na ni miongoni mwa mataifa machache ya Afrika ambayo yamefanikiwa kufuzu Robo Fainali ya mashindano hayo. Mwaka 2002 waliushtua ulimwengu kwa kumfunga bingwa mtetezi France.

France vs Senegal H2H

Timu hizi mbili zimekabiliana mara moja pekee katika mashindano ya Kombe la Dunia, ambapo ilikuwa Mei 31, 2002 matokeo yakiwa Ufaransa 0-1 Senegal. Ushindi huo wa Senegal, unasalia kuwa moja ya matokeo ya kushangaza zaidi katika historia ya Kombe la Dunia na uliichangia Ufaransa kuondolewa mapema kama mabingwa watetezi. Hivyo huenda hii ikachukuliwa kama mechi ya kisasi. Fomu ya sasa, ubora wa vikosi na nidhamu ya mbinu vitakuwa muhimu zaidi kuliko historia ya nyuma.

Table hii inachambua kwa urahisi France vs Senegal h2h;

KipengeleTaarifa
Mechi kubwa iliyokumbukwaFrance 0-1 Senegal
MashindanoFIFA World Cup 2002
TareheMei 31, 2002
UmuhimuSenegal waliwashangaza mabingwa watetezi Ufaransa
Muktadha wa 2026Ufaransa wanatafuta kuanza vizuri, Senegal wanataka kurudia historia

France vs Senegal 2026 ina ladha ya historia ya 2002, lakini mchezo huu utaamuliwa zaidi na fomu ya sasa, ubora wa vikosi, team news na mbinu za makocha.

Fomu ya Ufaransa kabla ya mechi

TareheMechiMatokeo
8 Jun 2026France vs Northern IrelandFrance 3-1 Northern Ireland
4 Jun 2026France vs Ivory CoastFrance 1-2 Ivory Coast
29 Mar 2026Colombia vs FranceColombia 1-3 France
26 Mar 2026Brazil vs FranceBrazil 1-2 France
8 Jun 2026Germany vs FranceGermany 0-2 France
5 Jun 2026Spain vs FranceSpain 5-4 France

Fomu ya Senegal kabla ya mechi

TareheMechiMatokeo
10 Jun 2026Saudi Arabia vs SenegalSaudi Arabia 0-0 Senegal
31 May 2026USA vs SenegalUSA 3-2 Senegal
31 Mar 2026Senegal vs GambiaSenegal 3-1 Gambia
28 Mar 2026Senegal vs PeruSenegal 2-0 Peru
18 Nov 2026Kenya vs SenegalKenya 0-8 Senegal
15 Nov 2026Brazil vs SenegalBrazil 2-0 Senegal

Vikosi vinavyotarajiwa kuanza

Hivi ni vikosi vinavyotarajiwa kuanza kulingana na fomu ya wachezaji, taarifa za awali za timu na mwenendo wa mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitathibitishwa karibu na muda wa mchezo.

Ufaransa

France vs Senegal utabiri Kombe la Dunia 2026
Kikosi cha Ufaransa
NafasiWachezaji
KipaMike Maignan
MabekiJules Koundé, William Saliba, Dayot Upamecano, Theo Hernandez
ViungoAurélien Tchouaméni, Adrien Rabiot, Michael Olise
WashambuliajiOusmane Dembélé, Désiré Doué, Kylian Mbappé

Senegal

NafasiWachezaji
KipaÉdouard Mendy
MabekiDiouf, Niakhaté, Sarr, Diatta
ViungoDiarra, Ndiaye, Camara, Ciss
WashambuliajiSadio Mané, Ndiaye

Kwa ratiba, utabiri na uchambuzi wa mechi ya Iran vs New Zealand soma hii zaidi: Iran vs New Zealand FIFA Kombe la Dunia 2026: Muda, uwanja, H2H, utabiri, Kundi G na vikosi | SportPesa Blog

Habari za timu na majeruhi

Kwa taarifa za awali mpaka sasa vikosi vya timu zote mbili viko salama na tayari kwa ajili ya mchezo huu, kwa kuwa hakuna majeruhi. Taarifa sahihi zaidi zitatolewa saa chache kuelekea mchezo huu. Hii inatarajiwa kufanywa na timu za madaktari kwa kushirikiana na mabenchi ya ufundi.

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil
Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Wachezaji muhimu

Wachezaji muhimu wa Ufaransa

MchezajiNafasiKwa nini ni muhimu
Kylian MbappéMshambuliajiAna kasi, uzoefu na uwezo wa kuamua mechi kubwa
Ousmane DembéléWingaAnaweza kuvunja ulinzi kwa kasi na ubunifu
Michael OliseKiungo mshambuliajiAnaongeza ubunifu na pasi za mwisho
William SalibaBekiNi muhimu kwenye kuzuia mashambulizi ya Senegal
Aurélien TchouaméniKiungoAnaweza kudhibiti eneo la kati

Wachezaji muhimu wa Senegal

MchezajiNafasiKwa nini ni muhimu
Sadio ManéWinga/MshambuliajiAna uzoefu wa mechi kubwa na uwezo wa kufunga
Édouard MendyKipaAnaweza kuwa muhimu dhidi ya mashambulizi ya Ufaransa
Kalidou KoulibalyBekiKiongozi wa safu ya ulinzi
Ismaïla SarrWingaAna kasi na uwezo wa kushambulia nafasi
Pape Matar SarrKiungoAnaweza kusaidia Senegal kupambana eneo la kati

France vs Senegal utabiri Kombe la Dunia 2026 (Utabiri wetu: France 2-1 Senegal)

Huu ni mchezo unaohusisha timu zenye uwezo mkubwa na ulingano wa kiutamaduni. Ufaransa wanaingia kwenye mashindano haya kama timu namba moja, inayopewa nafasi kubwa ya kuwa mabingwa. Senegal wamekuwa na kampeni bora sana ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025, na wanatabiriwa makubwa kwenye mashindano haya. Kwa mizania ya fomu, ubora wa vikosi na umuhimu wa mchezo, tunatarajia mchezo mgumu na ushindi wa 2-1 kwa France, huu ni mtazamo wa kiuhariri, si matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.

Hitimisho:

Kombe la Dunia
Kombe la Dunia

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa Ufaransa nafasi ya kushinda 2-1 dhidi ya Senegal. Ufaransa wana ubora mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji kupitia Kylian Mbappé, Ousmane Dembélé na Michael Olise, lakini Senegal wanaweza kuwa hatari kupitia nguvu ya mwili, kasi na uzoefu wa wachezaji kama Sadio Mané, Édouard Mendy na Kalidou Koulibaly. Huu ni mtazamo wa kiuhariri, si hakikisho la matokeo. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Ufaransa vs Senegal kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Kwa ratiba ya mechi za Brazili soma hii: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

France vs Senegal live score na matokeo

France vs Senegal live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi I baada ya mechi.

Maswali muhimu yanayoulizwa kuhusu mchezo huu

Mechi ya France vs Senegal itachezwa lini?

Mechi hii itapigwa Jumanne saa 4 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

France vs Senegal ni kundi gani?

Huu ni mchezo wa Kundi I kwenye Kombe la Dunia 2026.

France vs Senegal zimewahi kukutana?

Timu hizi zina historia ya kukutana mara moja kwenye Kombe la Dunia Mei 31, 2002 ambapo Senegal walishinda bao 1-0.

Utabiri wa France vs Senegal ni upi?

Utabiri wetu wa kiuhariri ni France 2-1 Senegal.

France vs Senegal itachezwa uwanja gani?

Mechi hii itachezwa Uwanja wa MetLife, inayojulikana pia kama Ney York New Jersey kwenye mashindano haya ya Kombe la Dunia.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) France vs Senegal

Mashabiki wanaweza kufuatilia France vs Senegal kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.