- Ni Korea Kusini vs Czechia FIFA Kombe la Dunia 2026 kampeni za kuwania ubingwa
- Uwanja Guadalajara wababe hawa watautumia kusaka pointi 3 muhimu
- Son Heung-min anatarajiwa kukiongoza kikosi cha Korea Kusini dhidi ya vijana wa Miroslav Koubek
Korea Kusini vs Czechia FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo mkali kwa kundi A unaotarajiwa kuchezwa Juni 12,2026. Uwanja wa Guadalajara utapigwa mchezo huu kwa timu hizi kusaka ushindi. Mara ya mwisho walipokutana ilikuwa Czechia 1 -2 Korea Kusini.
Fuatilia mwenendo wa mashindano kupitia Blog ya SportPesa, ratiba, matokeo na habari za hivi punde. Una nafasi kubwa kushinda mamilioni ya SportPesa sasa hivi bashiri sehemu yenye odds kubwa za SportPesa.
SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani na SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia 2026. Ili kushinda beti mechi ya kati ya Korea Kusini vs Czechia kwa kubonyeza picha hii chini

Korea Kusini vs Czechia FIFA Kombe la Dunia 2026 huu hapa mfumo


Mfumo ambao utatumika kwenye mchezo wa leo Korea Kusini vs Czechia FIFA Kombe la Dunia 2026 una tofautiana kidogo. Kocha Mkuu wa Korea Kusini ni Myung Bo Hong anapenda kutumia mfumo wa 3-4-3. Anakutana na Miroslav Koubek, Kocha Mkuu wa Czechia anayependa kutumia mfumo wa 3-4-2-1.
Taarifa zinaeleza kwamba ni wachezaji wawili wa Korea Kusini kuna uwezekano wataukosa mchezo. Jun-Ho Bae huyu hayupo fiti na Kim Tae-hyeon huyu anasumbuliwa na enka.Hii ni kampeni katika FIFA Kombe la Dunia 2026 kwa wababe hawa kufungua pazia hatua ya makundi. Ni raundi ya kwanza timu hizi zitakuwa kwenye uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 46,355
Mwamuzi wa mchezo hataki utani kazini anagawa kadi za njano
Amin Mohamed Omar raia wa Misri huyu atakuwa mwamuzi wa mchezo. Rekodi zinaonyesha katika mechi 14 alionyesha kadi 39 za njano. Ni kadi mbili nyekundu za moja kwa moja na 2 zilitokana na kadi 2 za njano.
Msimamo wa Kundi A
| Nafasi | Timu | Mechi | Ushindi | Sare | Kichapo | Magoli yaliyofungwa | Magoli yaliyofungwa dhidi | Tofauti ya magoli | Pointi |
| 1 | Mexico | 1 | 1 | 0 | 0 | 2 | 0 | +2 | 3 |
| 2 | Korea Kusini | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 3 | Czechia | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 4 | Afrika Kusini | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | 0 | 0 |
Kikosi cha Korea Kusini kinachotarajiwa kuanza
Langoni
Kim Seung
Mabeki
Han-Beom Lee
Kim Min-jae
Kim Tae-hyeon
Young- woo Seol
Viungo
Hwang In-beom
Jae-sung Lee
Lee Tae-seok
Kang-in Lee
Washambuliaji
Son Heung-min
Hwang Hee-chan


Hiki hapa kikosi kinachotarajiwa kuanza kwa Czechia
Langoni
Matej Kovar
Mabeki
Stepan Chaloupek
Robin Hranac
Ladislav Krejci
Viungo
Vladimir Coufal
David Jurasek
Tomas Soucek
Vladimir Darida
Washambuliaji
Lukas Provod
Pavel Sulc
Patrick Schick
Hitimisho
Korea Kusini vs Czechia FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kila timu inapiga hesabu kupata ushindi. Ikumbukwe kwamba bingwa mtetezi ni Argentina. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa.

