Ratiba ya Argentina FIFA Kombe la DuniaLionel
  • SportPesa Blog tumekuletea ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026
  • Mechi 104 zitapigwa huku zikianzia hatua ya makundi na kuna mechi kali kwa Argentina vs Algeria, Argentina vs Austria.
  • Lionel Messi mshambuliaji kiongozi huyu anatajwa kuwa na hatari kubwa kwenye kila mechi kutokana na rekodi zake


Ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026 ipo wazi kwa mabingwa hao watetezi. Katika hatua ya makundi wapo Kundi J na walitwaa taji hilo 2022 nchini Qatar. Ulimwengu utashuhudia nchi tatu zikishirikiana kuandaa mashindano haya makubwa ambazo ni Marekani, (USA), Mexico na Canada.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.
Paisha kindege leo uvune mamilioni sasa hivi.

Ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia
Argentina kikosi cha timu ya taifa.

SOMA HII: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Kamata ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026 kwenye kibarua cha kutetea kombe. Ikumbukwe kwamba pazia linafunguliwa rasmi Juni 11, 2026 kwa mchezo kati ya Mexico vs Afrika Kusini. Mechi ya kwanza itakuwa Juni 17, 2026 kwa timu hii inayoongozwa na nahodha Lionel Messi

TareheMechiUwanjaSaa
17/06/2026Argentina vs AlgeriaUwanja wa Kansas City04:00
22/06/2026Argentina vs AustriaUwanja wa Dallas20:00
28/06/2026Jordan vs ArgentinaUwanja wa Dallas05:00

Kikosi cha Argentina

Makipa

Juan Musso
Geronimo Rulli
Emiliano Martinez

Mabeki

Leonardo Balerdi
Nicolas Tagliafico
Gonzalo Montiel
Lisandro Martinez
Cristian Romero
Nicolas Otamendi
Facundo Medina
Nahuel Molina

Viungo

Leandro Paredes
Rodrigo De Paul
Valentin Barco
Giovani Lo Celso
Exequiel Palacios
Nico Gonzalez
Alexis Mac Allister
Enzo Fernandez

Washambuliaji

Julian Alvarez
Lionel Messi
Thiago Almada
Giuliano Simeone
Nico Paz
Jose Manuel Lopez
Lautaro Martinez

Kocha Mkuu

Kocha Argentina
Lionel Scaloni, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Argentina.

SOMA HII: Ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026 | Uwanja | Tarehe| Kikosi | Kundi A | SportPesa Blog

Lionel Scaloni.

Hitimisho

 Katika ratiba ya Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026 wataanza kazi dhidi ya Algeria kutoka Afrika. Mabingwa hawa watetezi wametwaa taji mara 3, 1978, 1986 na 2022. Mara ya kwanza kushiriki ilikuwa ni 1930, Uruguay na mfungaji kinara ni Lionel Messi mwenye magoli 13 huyu ni mchezaji wakutazamwa uwanjani. Je watatetea taji hilo? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za hivi punde na matokeo.

Share this: