- SportPesa Blog imekuletea Ratiba ya DR Congo FIFA Kombe la Dunia 2026
- DR Congo ina mechi kali ikiwemo: Ureno vs DR Congo, Colombia vs DR Congo.
- Mechi ya kwanza inatarajiwa kupigwa Juni 17, 2026 Uwanja wa Houston
Ratiba ya DR Congo FIFA Kombe la Dunia 2026 itaanza Juni 17. Kutoka Afrika timu hii ipo Kundi K. Ni nchi tatu zinashirikiana kuandaa mashindano haya makubwa ambazo ni Marekani, (USA), Canada na Mexico. Kivumbi kinatarajiwa kuanza Juni 11, 2026.
SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Kamata ratiba ya DR Congo FIFA Kombe la Dunia 2026

SOMA HII: Sheria 7 FIFA Kombe la Dunia 2026 | SportPesa Blog

Ni siku zinahesabika huku ratiba ya DR Congo FIFA Kombe la Dunia 2026 ikiwa ni moto kwa kundi K. Mechi 3 zitakazotoa mshindi hatua inayofuata. Mbio ni ngumu kutafuta bingwa mpya 2026 na mtetezi ni Argentina aliyetwaa 2022, Qatar.
| Tarehe | Mechi | Uwanja |
|---|---|---|
| 17 Juni 2026 | 🇵🇹 Ureno vs 🇨🇩 Congo DR | Houston |
| 23 Juni 2026 | 🇨🇴 Colombia vs 🇨🇩 Congo DR | Guadalajara |
| 27 Juni 2026 | 🇨🇩 Congo DR vs 🇺🇿 Uzbekistan | Atlanta |
Kocha Mkuu
Sebastien Desabre
Hiki hapa kikosi cha DR Congo
Makipa
Lionel Mpasi
Timothy Fayulu
Matthieu Epolo
Mabeki
Chancel Mbemba
Aaron Wan-Bissaka
Alex Tuanzebe
Arthur Masuaku
Joris Kayembe
Steve Kapuadi
Aaron Tshibola
Dylan Batubinsika
Gedeon Kalulu
Viungo
Noah Sadiki
Samuel Moutoussamy
Edo Kayembe
Ngal’ayel Mukau
Charles Pickel
Nathanael Mbuku
Brian Cipenga
Meschack Elia
Gael Kakuta
Washambuliaji

SOMA HII: Fifa World Cup 2026: Bingwa kuzoa Bilioni 123
Theo Bongonda
Fiston Mayele
Cedric Bakambu
Simon Banza
Yoane Wissa
Hitimisho
Kwenye ratiba ya DR Congo Congo FIFA Kombe la Dunia 2026 haijapoa ina mechi kali kwelikweli. Kuna wachezaji wenye majina makubwa huku Fiston Mayele katika eneo la ushambuliaji yupo na Cedric Bakambu. Ni kipi watavuna kwenye mechi zijazo? Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

