Ligi Kuu Bara 2025/26 ratibaChobwedo vs Chama
  • Kivumbi kinaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ya mechi kali tumekuletea hapa
  • Miongoni mwa mechi kali ni Yanga SC vs Singida Black Stars, Coastal Union vs Simba SC, Dodoma Jiji FC vs Mashujaa FC
  • Matokeo yakushangaza kwenye mechi zilizopita, wafungaji na taarifa utazipata ndani ya Blog ya SportPesa

Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ya mechi kali tumekusogezea hapa ikiwa ni lala salama. Kwa sasa ni mzunguko wa pili huku vita ya ubingwa kati ya Yanga SC na Simba SC ikizidi kupamba moto. Kwenye msimamo vinara ni Yanga SC wakiwa na pointi 54 wanafuatiwa na Simba SC nafasi ya pili na pointi 54, Azam FC nafasi ya tatu na pointi 46 baada ya mechi 23.

SOMA HII: Ligi Kuu Bara (NBC Premier League) | Hizi hapa timu 6 zinazomiliki viwanja vyao, matokeo ratiba

Unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ya mechi wiki ya 24 tumekosogezea hapa

Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba
Dube Prince mshambuliaji wa Yanga SC

SOMA HII: Ligi Kuu ya Bara fixtures, results, scores and stats

SportPesa Aviator Challenge

Ndani ya Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ya wiki ya 24 wababe watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu. Udhamini wa NBC umeongeza ushindani kwenye kila mchezo uwanjani. Timu mbili zipo kwenye hatari ya kushuka daraja kwa sasa ambazo ni KMC FC na Tanzania Prisons. Je watajinasua katika hatari hiyo?

Matokeo ya kushangaza ilikuwa mchezo uliochezwa Mei 13, 2026, Dodoma Jiji FC 3-2 Yanga SC. Vinara walipoteza mchezo wa kwanza Singida. TRA United 4-1 Azam FC ni miongoni mwa matokeo ambayo hayakutarajiwa.

Hii hapa Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba

Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba
Feisal Salim kiungo mshambuliaji Azam FC.
TareheMechiUwanjaSaa
Mei 20, 2026TRA United vs Mtibwa SugarSheikh Amri Abeid16:00
Mei 20, 2026KMC FC vs Pamba Jiji FCKMC Complex18:30
Mei 20, 2026Dodoma Jiji FC vs Mashujaa FCJamhuri, Dodoma21:00
Mei 21, 2026JKT Tanzania vs Fountain GateMeja Jeneral Isahmuyo16:00
Mei 21, 2026Coastal Union vs Simba SCMkwakwani18:30
Mei 21, 2026Namungo FC vs Mbeya CityMajaliwa21:00
Mei 22, 2026Yanga SC vs Singida Black StarsKMC Complex16:00
Mei 22, 2026Azam FC vs Tanzania PrisonsAzam Complex18:30

Hitimisho

Ni Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ngumu kwa kila timu. Vita kubwa kwenye upande wa kuwania ubingwa na kushuka daraja. Je nani atakuwa bingwa mpya wa NBC Premier League 2025/26? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za hivi punde na matokeo.

Share this: