Matokeo ya Yanga SCOkello Allan
  • Yanga SC 3-1 Namungo FC NBC Premier League, Mei 25, 2026
  • Allan Okello amefikisha magoli 11 msimu wa 2025/26 akiwa ni ingizo jipya katika dirisha dogo
  • Hassan Kabunda mfungaji wa goli pekee kwa Namungo FC

Yanga SC 3-1 Namungo FC NBC Premier League ni matokeo rasmi Mei 25, 2026. Magoli yamefungwa na Duke Abuya dakika ya 26. Allan Okello amefunga magoli mawili dakika ya 53 na 84. Goli pekee la Namungo FC limefungwa na Hassan Kabunda dakika ya 39. Ushindi huo unawafanya wananchi kufikisha pointi 60 nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.

SOMA HII: Yanga SC yaichapa Namungo FC nje ndani, sakata la Kariakoo Dabi bosi afunguka Juni 15 2025

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge
SportPesa Aviator Challenge

Yanga SC 3-1 Namungo FC, Allan Okello afunga magoli mawili

Yanga SC 3-1 Namungo FC
Yanga SC vs Namungo FC

SOMA HII: Ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC NBC Premier League 2025/26 | SportPesa Blog

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Wakati ubao ukisoma Yanga SC 3-1 Namungo FC, Allan Okello amendeleza rekodi yake yakufunga magoli mawili. Kiungo huyo ambaye ni usajili wa dirisha dogo mchezo uliopita dhidi ya Singida Black Stars alifunga magoli 2. Leo ameamua mchezo kwa kufunga magoli muhimu ndani ya Uwanja wa KMC Complex.

Ushindi muhimu kwa Yanga SC unazidi kuwarejesha kileleni kwa tofauti ya pointi 2 dhidi ya Simba SC. Mbali na idadi ya pointi hizo timu hiyo inaongoza kwa kufunga magoli mengi ambayo ni 58. Kinara wa ufungaji ni Okello katika kikosi hicho akiwa amefunga 11.

Okello rekodi zake ni moto

Kiungo Allan Okello amekuwa kwenye mwendelezo wa ubora ndani ya NBC Premier League. Amehusika kwenye jumla ya magoli 18 katika kikosi cha Yanga SC. Ni magoli 11 amefunga na kutegeneza pasi 7 zilizoleta magoli.

Ni miongoni mwa wachezaji ambao wamekuwa na mchango mkubwa kwenye mechi za mzunguko wa pili. Huyu alikuwa anacheza Vipers ya Uganda alikuja Tanzania katika dirisha dogo. Ni kijana mwenye miaka 25.

SOMA HII: Yanga SC: Historia, Usajili wote, kikosi, Ratiba, Matokeo na Takwimu

Hitimisho

Yanga SC 3-1 Namungo FC NBC Premier League mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90. Namungo FC wameangusha pointi 6 mbele ya vinara wa ligi kwa kufungwa nje ndani. Wananchi wamebakiza mechi 5 kukamilisha mzunguko wa pili 2025/26. Kwa taarifa za hivi punde na matokeo endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this: