Mshindi wa Supa Jackpot- Husna Dauda (-)Mshindi wa Supa Jackpot- Husna Dauda (-)
  • SportPesa Supa Jackpot imepata mshindi mpya wa Milioni 457.
  • Husna Abubakar kutoka Kibaha mkoani Pwani, ameibuka mshindi baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 14 kati ya 14.
  • Husna amekutana na mchezaji wake pendwa ‘Starboy’ Allan Okellio ambaye amempongeza Husna kwa ushindi huo.

Dar es Salaam. 24/5/2026 Kampuni ya kubashiri Michezo na Burudani SportPesa imemtangaza mshindi wa SportPesa Supa Jackpot ya shilingi TZS 457,989,839 Husna Abubakar Dauda. Husna ambaye ni shabiki lialia wa Yanga SC baada ya ushindi huo amepata nafasi ya kukutana na mchezaji wake pendwa ambaye ni Allan Okello ‘Star boy’. Okello amempongeza Husna na kumhusia namna bora ya kutumia pesa hizo.

Unaweza kuwa mshindi ajaye wa mamilioni. Jisajili sasa na kampuni bora ya kubashiri ya SportPesa; Kama unatumia kitochi unaweza kubonyeza *150*87#, lakini unaweza kujisajili kupitia App, au tovuti www.sportpesa.co.tz

Bado hujashinda? Cheza, ushinde na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.
Aviator: High-flying wins up to 800,000,000.

Mshindi wa SportPesa Supa Jackpot, Husna Aboubakar Dauda ni nani?

Husna ni mfanyabiashara anayejishughulisha na utoaji wa huduma ya tiba lishe. Ndiye mshindi mpya wa SportPesa Supa Jackpot, ambapo amefanikiwa kushinda zaidi ya Milioni 457 fedha za Tanzania (TZS 457,989,839). Kwa sasa mshindi huyo ni mwenyeji wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani.

Amewezaje kuibuka na ushindi wa SportPesa Supa Jackpot TZS 457,989,839

Husna na mfano wa hundi
Husna na mfano wa hundi

Husna amefanikiwa kuibuka na ushindi wa mamilioni hayo, baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 14 kati ya 14.

SOMA HII PIA: SportPesa watoa shilingi Bilioni 1.028 wiki hii kwa washindi wa bonasi ya SupaJackpot huku Mshindi wa Jackpot akiondoka na Sh.265,780,681.

Amepanga kufanyia nini fedha zake za ushindi?

Husna amesema kwa kuwa yeye ni mfanya biashara, amepanga kutumia fedha hizo kwa maendeleo makubwa ikiwemo kukuza mtaji wa biashara yake ya tiba lishe. Malengo yake ni kuwafikia wateja wengi zaidi, na kuboresha kipato chake na maisha ya familia yake. Malengo yake ni kufikia daraja kubwa la kimaendeleo.

Ubora na utofauti wa bonsai za SportPesa

SportPesa Supa Jackpot
Ujumbe wa ushindi wa Husna

Akizungumzia ubora wa huduma ambazo zinatolewa na SportPesa kulinganisha na Kampuni nyingine, Husna amesema: “SportPesa inajivunia kuendelea kutoa washindi kama ilivyo kauli mbiu yao kuwa ni nyumba ya washindi.”

Ikumbukwe, hapo nyuma SportPesa wamewahi kuwepo washindi mbalimbali wa Jackpot. Pia SportPesa wana huduma nyingi kama vile Single bet, Multbet, kuna live na virtual games. Michezo ya Casino, Aviator ‘Kindege’ pia inapatikana ambapo unaweza kushinda hadi x1000 ya dau. Kuna Aviator rain, SportPesa league, karata ‘cards’ na michezo mingine mingi inayokuwezesha wewe kushinda ikiwemo goal rush ambayo unacheza bure.

SOMA HII ZAIDI: ACHOMOKA NA 5.766,244 ZA SUPA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA

Kumhusu Allan Okello

Husna anasema: “Okello ni mchezaji mzuri, ni mchezaji nayevutiwa nae zaidi na natamani kuona anafanya vizuri zaidi kila wakati.”

SOMA HII PIA: SportPesa Supa Jackpot ya Mechi 13/13, Milionea kuondoka na Sh. 248,672,790

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.