Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SCGueye na Msindo
  • Ratiba ijayo, wafungaji, nafasi ya sasa hivi kwa Simba SC ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu tumekosogezea hapa
  • Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC, Azam Complex, Aprili 5, 2026
  • Barker akiri Simba SC hawana bahati mbele ya Azam FC, Ibenge akubali ubora wa mpinzani
  • Mchezo ujao ni Simba SC vs TRA United, Aprili 9, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Matokeo ya Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC 2025/26 (Azam FC 0-0 Simba SC), Uwanja wa Azam Complex. Ahmed Arajiga alikuwa mwamuzi kwenye mechi ya NBC Premier League, Aprili 5, 2026. Mzunguko wa kwanza Simba SC ilipoteza. Hivyo katika mechi mbili ni pointi moja wamevuna wakipoteza 4.

SOMA HII: Azam FC yaivuruga Simba SC yaifunga mara mbili mfululizo/ Kariakoo Dabi hakuna tena

Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

cropped-Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets-Mil-jpg- jpeg

Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC, Ahmed Arajiga gumzo

Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC 2025/26
Ahmed Arajiga.

Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC 2025/26. Katika mchezo wa mzunguko wa pili hakuna mbabe kwa wawili hawa baada ya ubao kusoma Azam FC 0-0 Simba SC. Azam FC amevuna pointi nyingi zaidi mbele ya Simba SC ambazo ni 4. Mzunguko wa kwanza matokeo ilikuwa Simba SC 0-2 Azam FC.

Mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga mara baada ya mchezo huo. Simba SC walitoa ujumbe wakionesha moja ya tukio alilofanyiwa mchezaji Libese Gueye. Kiungo huyo alionekana akichezwa faulo ndani ya 18 mwamuzi hakuamuru iwe penati.

Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema kuwa Simba SC walikuwa imara. Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker amekiri hawana bahati mbele ya Azam FC.

H2H Azam FC vs Simba SC

Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC
Seleman vs Azam FC, Azam Complex. Source: Simba SC.
TareheMashindanoTimu (H)MatokeoTimu, (A)
Aprili 5, 2025NBC PremierAzam FC0-0Simba SC
Desemba 7, 2025NBC PremierSimba SC0-2Azam FC
Feb 24, 2025NBC PremierSimba SC2-2Azam FC
Sep 26, 2024NBC PremierAzam FC0-2Simba SC
Mei 9, 2024NBC PremierAzam FC0-3Simba SC
Feb 9, 2024NBC PremierSimba SC1-1Azam FC

SOMA HII: Allan Okelo Star Boy aliyetikisa katika usajili na anachokifanya Yanga SC | Twakimu, goli lake la kwanza 2025/26 | CAF Champions League

cropped-Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets-Mil-jpg- jpeg

Msimamo wa NBC Premier League

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyiwa maboresho sasa hivi. Yanga SC inaongoza ikiwa na pointi 41. KMC FC inashikilia nafasi ya mwisho ikiwa na pointi 8.

POSMPWDLPTS
Yanga SC17125041
Simba SC16105135
3. Azam FC1789033
4. JKT Tanzania1878329
5.Pamba Jiji FC1768326
6.Singida Black Stars1774625
7.Dodoma Jiji FC1866624
8. TRA United1765623
9.Mtibwa Sugar1858523
10.Namungo FC1857622
11.Mashujaa FC1848620
12.Mbeya City1744916
13.Coastal Union1837816
14.Fountain Gate1744916
15.Tanzania Prisons18341113
16. KMC FC1722138

Libase Gueye mashine ya kazi Simba SC

Libase Gueye mwenye miaka 22 ni mashine ya kazi Simba SC 2025/26. Huu ni usajili wa kwanza Simba SC katika dirisha dogo 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji raia wa Senegal alikuwa anaitumikia Teungueth FC alitambulishwa Januari, 2026 atadumu mpaka 2028.

Mechi zijazo kwa Simba SC NBC Premier League

Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC
Azam FC vs Simba SC, NBC Premier League 2025/26.


TRA United vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni

Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Aprili 12, 2026, saa 12:30, CRDB Federation Cup

Fountain Gate vs Simba SC, Aprili 15, 2026, saa 10:00 jioni.
Namungo FC vs Simba SC, Aprili 18,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs JKT Tanzania, Aprili 19,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Tanzania Prisons, Aprili 29, 2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Yanga SC, Mei 3,2026 saa 11:00 jioni.
Mashujaa FC vs Simba SC, saa 12:15, jioni.
Coastal Union vs Simba SC, Mei 16,2026 saa 10:00 jioni
Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Mei 20,2026, saa 1:00 usiku.

SOMA HII: Azam FC 1-0 Endumenti FC CRDB Federation Cup | Matokeo haya hapa, Simba SC vs Yanga SC

Hitimisho

Mzizima Dabi yaiacha maumivu Simba SC kutokana na kuacha alama nyingi kwa mpinzani. Mchezo wa kwanza kupoteza mnyama alikuwa nyumbani Uwanja wa Mkapa dhidi ya matajiri wa Dar. Aishi Manula anatwaa tuzo ya mchezaji bora mbele ya mnyama. Kipa huyo alijiunga na matajiri wa Dar akitokea Simba SC.

Share this: