- Ellie Mpanzu afunga goli la ushindi ugenini akianzia benchi Uwanja wa Airtel
- Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League matokeo rasmi
- Ndumumwe Mossi afunga goli la kikatili kwa pigo la kichwa mbele ya beki Shomari Kapombe
Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League matokeo rasmi mchezo wa leo. Ellie Mpanzu akianzia benchi amefunga goli la ushindi dakika ya 85. Ni Anicent Oura alifunga goli la utangulizi kwa mnyama dakika ya 7. Goli pekee la wenyeji limefungwa na Ndumumwe Mossi aliweka mzani sawa dakika ya 38. Uwanja wa Airtel, Singida.
SOMA HII: Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League Machi 11,2026/ Live score, standings
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League
FT: Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League wenyeji wameondoka na pointi tatu. Mechi mbili mfululizo Singida Black Stars anapoteza nyumbani. Ilianza Singida Black Stars 0-3 Yanga SC na Singida Black Stars 1-2 Simba SC. Kwa watoto wa Kariakoo pointi 6 zimeanguka.
Rekodi Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League
| Singida Black Stars | Simba SC | |
| 7 | Mashuti | 8 |
| 4 | Lenga lango | 6 |
| 50% | Umiliki | 50% |
| 3 | Mashuti yasiyolenga lango | 2 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 3 | Kadi za njano | 2 |
| 5 | Kona | 6 |
| 1 | Magoli | 2 |
Msimamo Singida Black Stars vs Simba SC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 3. Simba SC | 12 | 8 | 3 | 1 | 27 |
| 10. Singida Black Stars | 13 | 5 | 4 | 4 | 19 |
SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups

Hitimisho
Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League goli la ushindi lilikuwa benchi. Mpanzu aliyechukua nafasi ya Loemba dakika ya 79 alikamilisha kazi kwa mnyama. Pointi tatu za jasho zinaondoka Uwanja wa Airtel.



