- Namungo FC vs Yanga SC, Uwanja wa Majaliwa NBC Premier League Februari 22,2026
- Mtibwa Sugar 1-3 SBS NBC, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
- KMC FC yapigwa na Azam FC yapoteza mchezo wa 12 ikiburuza mkia
Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli yamefungwa na Ndumumwe Mossi dakika ya 5, Horso Malanga dakika ya 16 na Kennedy Juma dakika ya 58. Goli pekee la wenyeji Mtibwa Sugar limefungwa na Raizin Hafidhi dakika ya 89.
SOMA HII: NBC Premier League table 2025/26
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, Horso mchezaji bora

Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars baada ya dakika 90 pointi tatu zimechukuliwa na mgeni. Ni Horso Malanga ametwaa tuzo ya mchezaji bora. Matokeo hayo yanaifanya Singida Black Stars kufikisha pointi 15 huku Mtibwa Sugar ikisaliwa na pointi zake 21.
KMC FC 0-2 Azam FC

KMC FC 0-2 Azam FC, Uwanja wa KMC Complex. Magoli yote yamefungwa na Idd Suleiman, maarufu kwa jina la Nado dakika ya 55 na 65.
Mara baada ya mchezo Nado alichaguliwa kuwa mchezaji bora. KMC FC haijawa kwenye mwendo bora msimu huu ikiwa imeshinda mechi 2 sare 2 na kupoteza 12 katika mechi 16 ilizocheza.
Namungo FC vs Yanga SC, Uwanja wa Majaliwa

Leo Namungo FC vs Yanga SC watakuwa Uwanja wa Majaliwa kusaka pointi tatu uwanjani. Wageni Yanga SC Februari 21 waliwasili Ruangwa kwa maandalizi ya mwisho. Leo wapo kazini msako wa pointi tatu muhimu.
SOMA HII: Matokeo ya Yanga SC 2025/26 | Wafungaji, magoli, ratiba ya mechi zijazo

Namungo FC vs Yanga SC kikosi cha wenyeji hiki hapa
Langoni
Mussa Malika
Bakari Hussen
Machella Julius
Hamis Halifa
Abdallah Mfuko
Rodgers Gabriel
Geofrey Julius
Cyprian Kipenye
Fabrince Ngoy
Abdulkarim Kiswanya
Jacob Masawe
Wachezaji wa akiba
Pius Buswita
Herbet Lukindo
Hamimu Mussa
Ally Hassan
Hashimu Manyanya
Heritier Makambo
Lucas Kikoti
Kagusa Rajabu
Ahmed Feruzi
Julius Masuka
Kikosi cha Yanga SC
Mlinda mlango
Djigui Diarra
Mabeki
Israel Mwenda
Zimbwe Jr
Dickson Job
Ibrahim Bacca
Viungo
Damaro
Maxi Nzengeli
Duke Abuya
Allen Okello
Buba Jammeh
Mshambuliaji
Laurindo Derson Depu.
Wachezaji wa akiba
Masalanga
Nondo
Boka
Yao
Abubhakar
Sheikhan
SureBoy
Abdulnassir
Mudathir
Emma.
SOMA HII: Yanga SC 0-0 Mbeya City NBC Premier League | Highligts, Romain Folz kibarua kigumu
Hitimisho
Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars huu ulikuwa ni mchezo wa kiporo. Timu mbili zimeshinda viporo vyake Singida Black Stars na Azam FC zikiwa ugenini. Yanga SC vs Namungo FC na Tanzania Prisons vs Simba SC ni mechi zinazofuata. Sababu ya viporo ni timu zilizopo ugenini kushiriki mashindano ya CAF 2025/26.

