- Dodoma Jiji FC vs Simba SC ni mechi inayofuata kwenye ratiba Februari 25,2026
- Tanzania Prisons 0-2 Simba SC, Rushine atwaa tuzo ya mchezaji bora
- Makala hii inakuletea matokeo yote na msimamo mechi za viporo Februari 22,2025
- Namungo FC 0-1 Yanga SC, Depu afunga, Maxi Nzengeli atwaa tuzo
Tanzania Prisons 0-2 Simba SC ni matokeo rasmi wababe hawa walipovaana Februari 22, 2026. Seleman Mwalimu dakika ya 19 na Rushine De Reuck dakika ya 45 walifunga magoli ya ushindi. Kituo kinachofuata ni Dodoma Jiji FC vs Simba SC.
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Tanzania Prisons 0-2 Simba SC

Tanzania Prisons 0-2 Simba SC ni mwendelezo wa ushindi kwa mnyama. Kwenye mechi 5 za hivi karibuni, ushindi mechi 3 na sare mechi 2. Tanzania Prisons haijawa kwenye ubora ni katika mechi 5, ushindi moja, sare moja na kupoteza mechi 3.
Matokeo ya mechi za Tanzania Prisons NBC Premier
| 02/02/2026 | Mtibwa Sugar | 2 | 1 | Tanzania Prisons | |||
| 10/02/2026 | Tanzania Prisons | 1 | 4 | Coastal Union | |||
| 06/02/2026 | Mashujaa FC | 0 | 0 | Tanzania Prisons | |||
| 14/02/2026 | Tanzania Prisons | 3 | 2 | Namungo FC | |||
| 22/02/2026 | Tanzania Prisons | 0 | 2 | Simba SC | |||
Matokeo ya Simba SC NBC Premier League

| 07/12/2025 | Simba SC | 0 | 2 | Azam FC |
| 18/01/2026 | Simba SC | 1 | 1 | Mtibwa Sugar |
| 29/01/2026 | Simba SC | 2 | 0 | Mashujaa FC |
| 11/02/2026 | KMC FC | 0 | 2 | Simba SC |
| 22/02/2026 | Tanzania Prisons | 0 | 2 | Simba SC |
Tanzania Prisons 0-2 Simba SC msimamo NBC Premier.
| MP | W | D | L | PTS | |
| 4. Simba SC | 9 | 7 | 1 | 1 | 22 |
| 14.T. Prisons | 14 | 3 | 3 | 8 | 12 |
Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars (S.B.S)
Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ndumumwe Mossi dakika ya 5, Horso Malanga dakika ya 16 na Kennedy Juma dakika ya 58. Goli pekee la wenyeji Mtibwa Sugar limefungwa na Raizin Hafidhi dakika ya 89. Horso alichaguliwa kuwa mchezaji bora, Februari 22,2026.
| MP | W | D | L | PTS | |
| 5.Mtibwa Sugar | 15 | 5 | 6 | 4 | 21 |
| 10.S.B.S | 9 | 4 | 3 | 2 | 15 |
SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups

KMC FC 0-2 Azam FC
Uwanja wa KMC Complex Idd Suleiman, maarufu kwa jina la Nado dakika ya 55 na 65. Winga Nado alichaguliwa kuwa mchezaji bora, Uwanja wa KMC Complex.
Msimamo wa KMC FC vs Azam FC
| MP | W | D | L | PTS | |
| 8.Azam FC | 9 | 5 | 4 | 0 | 19 |
| 16. KMC FC | 16 | 2 | 2 | 12 | 8 |
Namungo FC 0-1 Yanga SC

Uwanja wa Majaliwa pointi tatu zilioondoka na wageni. Goli la ushindi lilifungwa na Depu kwa mkwaju wa penati dakika ya 25. Maxi Nzengeli alichaguliwa kuwa mchezaji bora.
SOMA HII: Namungo FC 0-1 Yanga SC NBC Premier League/ Highlights, msimamo
Msimamo wa Namungo FC vs Yanga SC NBC Premier
| MP | W | D | L | PTS | |
| 2. Yanga SC | 9 | 8 | 1 | 0 | 25 |
| 7.Namungo FC | 15 | 5 | 5 | 5 | 20 |
Hitimisho
Tanzania Prisons 0-2 Simba SC haijawahi kuwa mechi nyepesi wanapokutana wababe hawa wawili. Wajelajela msimu huu hawapo kwenye ubora wao asilimia 100. Je watarejea kwenye mechi zijazo? Tusubiri ligi bado inaendelea.

