- Dupe amaliza mchezo ugenini dakika ya 25 kwa pigo la penati.
- Namungo FC 0-1 Yanga SC NBC Premier League Februari 22,2026
- Kituo kinachofuata ni Yanga SC vs JKT Tanzania Februari 25,2026.
Namungo FC 0-1 Yanga SC ni matokeo ya mchezo wa NBC Premier League, Uwanja wa Majaliwa. GolI limefungwa na Depu dakika ya 25. Wananchi wanaondoka na pointi tatu ugenini wakifikisha pointi 25 baada ya mechi 9 nafasi ya pili.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Namungo FC 0-1 Yanga SC, Depu amemaliza mchezo

Wakati ubao ukisoma Namungo FC 0-1 Yanga SC, Depu amemaliza mchezo mapema kipindi cha kwanza. Goli la penati iliyosababishwa na Maxi Nzengeli limedumu mpaka mwisho wa mchezo. Wananchi wanazidi kujikusanyia pointi kwenye mechi za viporo.
Kituo kinachofuata ni Yanga SC vs JKT Tanzania, Februari 25,2026. Wananchi wapo nafasi ya pili watakabiliana na JKT Tanzania iliyo nafasi ya kwanza na pointi 28.
SOMA HII: Yanga SC yaichapa Namungo FC nje ndani, sakata la Kariakoo Dabi bosi afunguka Juni 15 2025

Msimamo wa Namungo FC vs Yanga SC
| MP | W | D | L | PTS | |
| 2. Yanga SC | 9 | 8 | 1 | 0 | 25 |
| 6.Namungo FC | 15 | 5 | 5 | 5 | 20 |
Kikosi cha Namungo FC

Langoni
Mussa Malika
Bakari Hussen
Machella Julius
Hamis Halifa
Abdallah Mfuko
Rodgers Gabriel
Geofrey Julius
Cyprian Kipenye
Fabrince Ngoy
Abdulkarim Kiswanya
Jacob Masawe
Wachezaji wa akiba
Pius Buswita
Herbet Lukindo
Hamimu Mussa
Ally Hassan
Hashimu Manyanya
Heritier Makambo
Lucas Kikoti
Kagusa Rajabu
Ahmed Feruzi
Julius Masuka
Kikosi cha Yanga SC kilichoanza vs Namungo FC
Mlinda mlango

Djigui Diarra
Mabeki
Israel Mwenda
Zimbwe Jr
Dickson Job
Ibrahim Bacca
Viungo
Damaro
Maxi Nzengeli
Duke Abuya
Allen Okello
Buba Jammeh
Mshambuliaji
Laurindo Derson Depu.
Wachezaji wa akiba
Masalanga
Nondo
Boka
Yao
Abubhakar
Sheikhan
SureBoy
Abdulnassir
Mudathir
Emma.
Matokeo mengine mechi za leo
Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars
KMC FC 0-2 Azam FC
SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups
Hitimisho
Namungo FC 0-1 Yanga SC mshindi amejulikana baada ya dakika 90. Depu amekuwa kwenye ubora katika mapigo huru ndani ya kikosi cha Yanga SC. Pedro Goncalves ana kibarua kupanga mbinu za ushindi mchezo ujao vs JKT Tanzania ambao ni vinara wa ligi.

