- SportPesa Goal Rush: Washindi 17-23 Agosti 2025, wiki hii kumekuweko wachezaji wengi na washindi wamepata 200,000 kila siku.
- Kuna dau kubwa la ushindi wa shilingi millioni mia moja, ambalo unaweza kushinda.
- Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 100 leo, ingia katika SportPesa na ucheze Goal Rush.
Nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush, imefanikiwa kupata awshindi wapya wa wiki ya Agosti 17-23, 2025. Hii ni kupitia ubashiri wa Goal Rush wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa, ambapo watu wameendelea kushinda mamilioni. Tumejionea msisimko wa soka ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, kutoka kwa mashabiki wetu waliothibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.
Cheza sasa ‘Kindege’ SportPesa uvune mamilioni muda huu
Bado hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

SportPesa Goal Rush ni nini?
Mchezo wa Goal Rush unazidi kuwa mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.
SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush: Washindi 7-13 Juni 2025
SportPesa Goal Rush washindi 17-23 Agosti 2025 washindi wanapata zawadi gani?
Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya Tsh 200,000/= kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?
SOMA HII PIA: Kijana wa Miaka 23 Ajinyakulia TZS 100,000,000 ya Sportpesa Goal Rush!
Jumamosi: Shamrashamra Saturday





Jumapili: Vibe la Sunday

Jumatatu: Mkwanja Monday

Jumanne: Tajiri Tuesday

Jumatano: Zali Day Wednesday


Alhamisi: Maokoto Thurday





Ijumaa: Faidika Friday

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea washindi wa SportPesa Goal Rush washindi 17-23 Agosti 2025 mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!
Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri
SportPesa ushindi upo nawe !!

