Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FCBuba J
  • Buba Jammeh aongoza jahazi kuwazamisha wapinzani wao Uwanja wa KMC Complex.
  • Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC CRDB Federation Cup 64 bora
  • Azam FC vs Endumenti kupigwa saa 3:00 usiku
  • Kamata matokeo na ratiba 2025/26 hapa

Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC CRDB Federation Cup 64 bora ni matokeo rasmi Uwanja wa KMC Complex. Februari 18, 2026 Wananchi waliwafungashia virago wapinzani wao moja kwa moja. Magoli yote yalifungwa na Buba Jammeh dakika ya 13 na 23.

SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda/ Ratiba, msimamo

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil

Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC Buba aongoza jahazi

Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC
Buba na Mudathir. Source: Yanga SC

Wakati ubao ukisoma Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC Buba Jammeh aliongoza jahazi kuwazamisha wapinzani. Ni ukurasa wake mpya wa magoli amefungua akiwa na uzi wa kijani na njano. Alisubiri dakika 13 kuandika rekodi hiyo msimu wa 2025/26.

Matokeo ya mechi za CRDB Federation Cup Februari 18,2026

JKT Tanzania70Pan African
Kagera Sugar30 Mighty Elephan
Geita Gold10Kajuna FC
 B19 FC 70 Dhujao FC
Barberian FC11Kijiwe Nongwa FC (Pen: 2-4)
Songea United21 Vijana SC
Bigman FC  01Nyika FC
Hausang FC  21West Sengers
Stand United40 Mabao FC
African Sports41Kilimo FC
Mtibwa Sugar50 IAA SC
Pamba Jiji01Alliance FC (Pen: 4-2)
 Mashujaa FC10Nkim FC
Mbuni FC51 1 Green FC

Polisi Tanzania vs THB FC (Polisi wamepewa ushindi baada ya THB kutofika uwanjani)

SOMA HII: Allan Okello mambo fresh Yanga SC/ Orodha ya wapya waliotambulishwa

Sportpesa Aviator- 800Mil

Matokeo ya mechi nyingine hatua ya 64 bora Februari 17

Simba SC 3-0 Greenland FC
Mwangosi nyota wa Simba SC. Source: Simba SC.
Simba SC300 Greenland FC
KMC FC33 (P 2-3)Bandari FC
Coastal Union31Nyumbu FC
Fountain Gate10Mapinduzi FC
Dodoma Jiji FC31Kilimanjaro Wonders
Transit Camp40Chama la Wana

Mbeya City vs Biashara United Mara

Mchezo huu haujachezwa kutokana na Biashara United kutokufika uwanjani. Mbeya City walifika na kufuata taratibu zote. Baada ya dakika 30 mwamuzi akamaliza mchezo na hivyo Mbeya City kupewa ushindi kutokana na kanuni.

Ratiba ya Februari 19,2026 CRDB Federation Cup

19/02/2026  Azam FCvsEndumenti/ Azam Complex

Hitimisho

Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC ni karata ya ushindi kutetea taji hilo. Baada ya mchezo huo Wananchi watakuwa na kibarua mchezo wa ligi. Ni Namungo FC vs Yanga SC kituo kinachofuata Februari 22, Uwanja wa Majaliwa.

Share this: