SportPesa Goal Rush -Washindi wa wikiSportPesa Goal Rush -Washindi wa wiki

Mwezi Machi umeanza kibabe ndani ya Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa ambapo kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush watu wameendelea kujishindia mamilioni kwa kishindo.

Tumejionea msisimko wa soka ukiendelea na ubashiri wa kipekee kutoka kwa mashabiki wetu waliothibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.

SPORTPESA
SportPesa Goal Rush -Washindi wa wiki

Mchezo wa Goal Rush unazidi kuwa mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania, Mchezo huu ukitaka kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha ustadi wao kwa kubashiri matokeo sahihi.

Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya Tsh 200,000/= kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?

Jumapili: VIBE LA SUNDAY

Artboard -----
Artboard -----

Jumatatu: MKWANJA MONDAY

Artboard -----
Artboard -----

Jumanne: TAJIRI TUESDAY

Artboard -----
Artboard -----

Jumatano: Zali Day Wednesday

Artboard -----
Artboard -----
Artboard - copy----

Artboard - copy -----

Alhamisi: Maokoto Thurday

Artboard -----
Artboard -----

Ijumaa: Faidika Friday

Artboard -----
Artboard -----

Jumamosi: SHAMRASHAMRA SATURDAY

Artboard - copy----
Artboard - copy----

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea ushindi wa wengine mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!

Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri

SportPesa Ushindi Upo Nawe !!

Share this:

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.