Tunapoendelea na wiki nyingine wa SportPesa Goal Rush, tunafuraha kubwa kuwaletea orodha ya washindi wa wiki hii! Huku tukiacha nyuma msisimko wa wiki iliyopita, mashindano ya wiki hii yamekuwa na ushindani mkali zaidi, na wachezaji wetu wameonyesha uwezo wao wa hali ya juu wa kutabiri matokeo ya mechi walizopewa.

Mchezo wa Goal Rush unazidi kuchukua mwelekeo chanya na kuwa changamoto ya maarifa, hasa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania. Washiriki wanahitajika kutabiri timu itakayofunga kwanza, dakika gani bao hilo litatupwa kimiani, na kipindi ambacho matokeo hayo yatatokea. Wiki hii ushindani ulikuwa mkubwa, lakini washindi wameonyesha umahiri wao kwa kutoa ubashiri wa kuvutia na sahihi.
Hawa hapa ni washindi wetu wa wiki hii, kila mmoja akijinyakulia zawadi ya Tsh 200,000 kila siku. Wakati huo huo, zawadi kubwa ya Tsh 100,000,000/= ikikaribiwa ambayo itazawadiwa kwa mshindi atakayepatia kwa usahihi matokeo ya seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa mshindi wa zawadi hiyo ya kukata na shoka?
Jumatatu: MKWANJA MONDAY


Jumanne: TAJIRI TUESDAY


Jumatano: Zali Day Wednesday


Alhamisi: Maokoto Thurday


Ijumaa: Faidika Friday


Wiki iliyopita tulishuhudia mabingwa wa mchezo huu wa SportPesa wakizawadiwa, na wiki hii pia tumeshuhudia ushindani mzuri. Ushindi unaendelea kuwa moto! Je, umejiandaa kuwa sehemu ya orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usipitwe nafasi ya kujiunga nasi katika msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri matokeo ya soka kwa usahihi, utajiri unakusubiri wewe msomaji, Ndiyo wewe hapo !!.
SportPesa – Ushindi Upo Nawe!
