skip to Main Content
SUPER X NAO UPO KWENYE PROMOSHENI YA DROP AND WIN

SUPER X NAO UPO KWENYE PROMOSHENI YA DROP AND WIN

Super X- Drop and Win

Ukizungumzia michezo ya Kasino kwa maana ya michezo Kasino ya kwenye mtandao, basi huwezi kuacha kuuzungumiza mchezo wa Super X. Huu ni moja ya michezo inayopatikana katika promosheni yetu ya Drop and Win.

Leo tutakuelezea mchezo huu ni mchezo wa aina gani. Kwa kuanzia Super X ni mchezo wa kuburudisha unaotumia mfumo sawa na michezo ya Kasino ya mashine, lakini safari hii ukipatikana na kutumika kupitia mfumo wa mtandao, yaani kwenye tovuti au App.

Ikiwa utakuwa mwenye bahati, basi mchezo huu utakuacha ukijisikia mwenye furaha pale utakapoona mistari ya mchezo huu, imekutana na kulingana kwenye mstari minyoofu. Haijalishi kama itakuwa imekaa mshazali au imenyooka kwenda chini.

Utakuwa mwenye bahati zaidi pale utakapoona alama za nyota zenye mngáo wa Almasi kwenye mstari unaozunguka namba mbili, tatu na nne. Kati ya alama maarufu ambazo utaziona katika mchezo huu ni pamoja na Kofia ya ufalme ya Malkia, Vipande vya dhahabu, kadi za karata, pamoja na alama ya fedha taslimu.

Alama yenye mngáo wa Almasi (Wild) inaweza kujigeuza na kuendana na alama yoyote, kati ya hizo nilizozitaja hapo juu,  kasoro alama X ambayo imetawanyika na alama yoyote yenye namba pamoja na iliyopo kwenye mstari na kuweza kukupa ushindi.

Pia unaweza kufaidika na kupata fursa ya kuzungusha michezo ya bure (Free Spin) pale utakapo pata alama mbili za X katika mchezo huu wa Super X. Ni katika hatua hii, utajua kiasi cha pesa ulichoshinda, baada ya mizunguko ya bure, kumaliza mizunguko yake na hesabu kamili kupatikana.

Kitu cha tofauti na chenye ubunifu mkubwa katika mchezo huu wa Super X ni kwamba mchezaji anaweza kupata faida ya ziada kwenye mizunguko (game spin) anayocheza. Mfano mchezaji anaweza kuamua kulipia X10 ya kiasi anachokatwa kwenye kila mzunguko anaochezwa kwa muda huo.

Kipengele hichi cha mchezo kikiwa hai (On), basi kila mzunguko utakaozunguka(respin) wakati wewe mchezaji unacheza, utahesabika ni sawa na mchezo wa bure (free Spin) ambapo hautakatwa hela zako, hivyo kukupa chansi ya kupata fedha nyingi kama faida.

Namna Mchezo wa Super X unavyocheza

Kwa Ufupi kwenye mchezo huu wa Super X, ukiiona alama ya nyota ya Almasi yenye mngáo inayosomeka (Wild), basi ujue ndio inayotumika kutengeneza mizunguko ya bure au (Free Spins).

Na ili alama hii iweze kukupa faida, basi itatakikana kutokea kwenye moja kati ya mstari namba moja, mbili na tatu, au kwenye mistari yote mitatu kwa wakati mmoja.

Michezo ya Bure (free Spin)

Jumla ya mizunguko 5 pekee hutolewa kama michezo ya bure katika mchezo huu wa Super X.

Michezo ya bure itapatikana endapo alama za X zitajitokeza na kujaza nafasi yoyote katika kila mistari yote mitatu inayozunguka.

Au kama Ikitokea katika mizunguko ya mchezo wa Super X, nafasi za mstari wa pili watatu, wanne na watano itajaa alama zilizoandikwa bonus, basi utazawadiwa michezo 3 ya bure.

Mizunguko Ya Ante (Ante Spin).

Hapa nataka niwajuze kuhusu Ante. Kwa lugha inayotumika na watengenezaji au wabunifu wa michezo ya Kasino, Ante ina maana fursa ya kuzidisha malipo, maradufu na katika muda mfupi.

Mfano katika mchezo wa kawaida ulikuwa unapata michezo ya bure kila baada ya mizunguko 200.

Sasa utakapochagua Ante utakuwa unapata mizunguko ya bure kila baada ya mizunguko 100. Kitakachotokea ni kwamba makato katika kila mzunguko kwako yatakuwa makubwa tofauti na kawaida, hivyo kula hela yako kwa haraka.

Hii inamaanisha utakuwa unakatwa 10X ya kiwango unachoweka kama dau lako.

Mfano ikiwa sasa hivi unacheza mchezo huu wa Sper X katika simu yako, na katika kila mzunguko unaocheza dau la kawaida la Sh 50.

Ki kawaida mizunguko huzidishwa mara mistari unayocheza hivyo kama kuna mistari 5 na kila mstari unalipia Sh 10, maana yake kwa kila mzunguko unakatwa Sh 50 kwa maana hiyo kama unaamua kucheza mizunguko kwa kutumia mfumo wa Ante utakuwa unakatwa X10, hivyo itakuwa Sh 500 kwa kila mzunguko.

Lakini faida yake ni kwamba pale utakapofanikiwa kupata michezo ya bure ukipata malipo yanakuwa mara 10X ya kile ulichoweka katika kila mzunguko wakati unacheza.

Mchezaji anaweza kupata alama ya bonus ya XX katika mstari 1,2 na 3 ambayo inampa nafasi ya kupata fedha nyingi kutegemeana na namna alama zingine zinavyoongeza uzito kwenye mizunguko.

Ushindi wa mchezaji utapigiwa hesabu, sawia na namna bonus za kujirudia zinavyolipa.

Cheza Sasa game hii kali kwenye Casino ya SportPesa.

 

 

Share this:
Back To Top