Sportpesa yakabidhi hundi ya shilingi milioni 50 kwa Simba SC. Ni baada ya kufuzu katika hatua ya robo fainali, Kombe la shirikisho Afrika.
simba Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika kwenye ofisi za SportPesa ambao ni wadhamini wakuu maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam. Waliohudhuria kutoka SportPesa ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Tarimba Abbas, Meneja Uhusiano na Mawasiliano Sabrina Msuya, kutoka Simba…