skip to Main Content
SportPesa Bet Bonanza Tsh. 15,888,000 Kutoka Wiki Ijayo.
Wawakilishi kutoka Vodacom, Airtel na Halotel kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuchezesha drop ya kumtafuta mshindi wa milioni moja kila mtandao kwa wiki hii.

SportPesa Bet Bonanza Tsh. 15,888,000 kutoka wiki ijayo.

Washindi watatu Shaaban Mwita wa Mgusu (Geita), Abdalla Said Ali wa Tandahimba (Mtwara) na David Jonas wa Magu (Mwanza), leo asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya shilingi milioni moja moja kila mmoja katika droo ya nne ya wiki ya Bet Bonanza ya Sportpesa.

Droo hii ni sehemu ya promosheni ya Bet Bonanza ya Sportpesa, na pia ni muendelezo wa zawadi ambazo zinatolewa katika kipindi hiki cha ligi mbali zinazinazoendela kwa ushirikiano na kampuni za simu Airtel, Vodacom na Halotel.

Akizungumza baada ya droo iliyochezeshwa makao makuu ya Sportpesa, Jijini Dar-Es-Salaam, meneja mahusiano wa kampuni ya Sportpesa Sabrina Msuya anasema leo imechezeshwa droo ya nne katika wiki ya nne ya Bet Bonanza, ambapo wateja wa Halotel, Airtel na Vodacom wameshinda vitita hivi vya shilingi milioni moja moja kwa kila mmoja.

Sportpesa Bet Bonanza

Wawakilishi kutoka Vodacom, Airtel na Halotel kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuchezesha drop ya kumtafuta mshindi wa milioni moja kila mtandao kwa wiki hii.

‘’Katika mwendelezo wa kampeni yetu ya Bet Bonanza, muda mfupi uliopita imechezeshwa droo ya nne ya wiki ya Bet Bonanza ambapo wateja watatu kutoka Geita, Mtwara, na Songwe Mbeya, wameshinda shilingi milioni moja moja, baada ya kubashiri na na kuibuka washindi wa Bet Bonanza ya Sportpesa’’.

Ninapenda kuwapa kongole washindi wetu wa leo na pia kuwapa moyo wachezaji ambao wameshiriki na hawakushinda wasikate tamaa kwani promosheni bado inaendelea mpaka wiki ijayo Tarehe 12 ambapo ile droo kubwa kabisa ya kufunga kampeni ya Bet Bonanza itafanyika, ambapo zawadi ya 15,888,000 itatoka.

Akiongea baada ya droo hiyo ya Milioni moja moja kwa kila mtandao Afisa biashara kutoka Vodacom Karen Samson alimpongeza mshindi Shaaban Mwita kwa kushinda milioni moja na kuwaasa watumiaji wa Vodacom kuendelea kubashiri na Sportpesa kupitia Bet Bonanza ili waingie kwenye droo kubwa ya mwisho ya Tsh. 15,888,000 jumanne wiki ijayo.’’

“Ni matumaini yangu mtachangamkia fursa ya Bet Bonanza. Kuweka pesa kwa Mpesa bofya Bofya *150*00#, Chagua 4 – Lipa bili alafu fuata maelekezo.”

Naye Afisa biashara kutoka Halotel Roxana Kadio alimpongeza mshindi Abdalla Said Ali kwa ushindi huo na kuwataka watumiaji wa Halotel kuendelea kucheza na Sportpesa kupitia Bet Bonanza ili waingie kwenye droo kubwa ya Jumanne Tarehe 12 ili waweze kujishindia Tsh. 15,888,000.

‘’Ninawaomba wateja wetu wa Halotel wajitahidi kucheza kuanzia leo na kuendelea kwani Jumanne ya wiki ijayo promosheni hii ya Bet Bonanza inafika mwisho na ile zawadi kubwa kabisa ya Tsh. 15,888,000 itatolewa, hivyo basi bado mnayo nafasi ya kushinda.

Kuweka pesa kwa halopesa piga Piga *150*88#, Chagua 4:, Lipia kwa HaloPesa, Chagua 4: Michezo ya Kubahatisha

Ikumbukwe promosheni hii ilizinduliwa rasmi siku ya tarehe 8 Machi 2022, inajumuisha zawadi za shilingi elfu 20 kila siku, zawadi za milioni moja moja kwa washindi watatu kila wiki na zawadi ya milioni 15,888,000 siku ya kufunga promosheni.

 

 

Share this:
Back To Top