Wiki hii SportPesa watoa Jackpot bonus ya 11,049,185/=
Wiki hii SportPesa watoa Jackpot bonus ya 11,049,185/= Mkazi wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185. Akizungumzia usindi…