SportPesa watoa shilingi Bilioni 1.028 wiki hii kwa washindi wa bonasi ya SupaJackpot huku Mshindi wa Jackpot akiondoka na Sh.265,780,681.
SportPesa watangaza mshindi wa Supa Jackpot ya zaidi ya Bilioni. Baada ya kubashiri kwa usahihi mechi zote 13/13 za Supa Jackpot na kuondoka na 265,780,681 TZS. Washindi wa bonasi zaidi…
