SPORTPESA YAKABIDHI SINGIDA FOUNTAIN GATE BONASI YA MILIONI 50-Ni baada ya Kushika NafasI ya nne Ligi Kuu.
Kampuni ya burudani na michezo ya ubashiri SportPesa, leo asubuhi imekabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 50, kwa timu ya Singida Fountain Gate FC, baada ya kushika nafasi ya…
