NEWCASTLE vs LEICESTER – Nani kati yao kumkwamisha mwenzake
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye’’ Monday Night Football’’ itashuhudiwa kipute cha kukata na shoka huko King Power Stadium ambapo Leicester City watakuwa wenyeji wa…