NBA-PLAYOFFS-INARUDI TENA
Tunajua wiki hii kuna mechi nyingi za kimataifa lakini kwa kuwa SportPesa ni mdau wa michezo, kikapu ikiwemo, leo tunakuangazia NBA PlayOffs. Hizi ni mechi za Basketball ambazo huchezwa baada ya ligi ya kawaida ya NBA kwisha, ili kumpata mshindi…