Manchester United wanahitaji points 1 tu kwa Chelsea.
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Sports news, transfer, scores, fixtures, casino and betting news
SportPesa Tanzania
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Kesho katika dimba la St. James Park, Newcastle United watakuwa wanawaalika washika mitutu wa London, klabu ya Arsenal ambao ndio vinara wa Ligi kuu ya England EPL. Newcastle wapo katika…
Majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye’’ Monday Night Football’’ itashuhudiwa kipute cha kukata na shoka huko King Power Stadium ambapo Leicester City watakuwa wenyeji wa…
Heka heka za Ligi Kuu ya England zinaendelea kurindima siku ya kesho. Stori kubwa zaidi ni mchezo baina ya klabu mabingwa watarajiwa ambao ni kati ya Manchester City na Arsenal…
Kama wewe ni shabiki wa mpira, ama mpenzi wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, EPL, basi utakuwa unajua nini kinaenda kutokea kesho pale katika uwanja wa Anfield. Timu ya…
MOTO utawaka Barani Ulaya ambako miamba ya soka baina ya Chelsea na Liverpool katika ligi ya English Premier League, almaarufu kama EPL watapambana katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu…