SportPesa Bet Bonanza washindi wa 1,000,000/- watangazwa.
Jumla ya washindi watatu Masoud Abdalla (Mkuranga), Omari Saidi (Singida), na Charles Joseph (Dumila), leo asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya shilingi 1,000,000 kila mmoja katika droo ya pili ya wiki ya Bet Bonanza ya SportPesa. Droo hii ni sehemu…