skip to Main Content
SportPesa Bet Bonanza Washindi Wa 1,000,000/- Watangazwa.
Baadhi ya mabalozi wa Sportpesa(Meena Ally, MC Gara B na Frank Charles Gibebe) walioshiriki kwenye droo ya pili ya promosheni ya Bet Bonanza wiki hii. Kushoto ni Meneja Mauzo Biashara- Mpesa Kelvin Nyanda na wa pili kulia ni Meneja Mauzo Airtel Mobey- Biashara Aggrey Charles. Washindi watatu wa 1,000,000/- kutoka mitandao ya Airtel, Vodacom na Halotel walitangazwa mara baada ya droo.

SportPesa Bet Bonanza washindi wa 1,000,000/- watangazwa.

Jumla ya washindi watatu Masoud Abdalla (Mkuranga), Omari Saidi (Singida), na Charles Joseph (Dumila), leo asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya shilingi 1,000,000 kila mmoja katika droo ya pili ya wiki ya Bet Bonanza ya SportPesa.

Droo hii ni sehemu ya promosheni ya Bet Bonanza ya Sportpesa, na pia ni muendelezo wa zawadi ambazo zinatolewa katika kipindi hiki cha ligi mbali zinazochezwa kwa ushirikiano na kampuni za simu Vodacom, Airtel na Halotel.

Akizungumza baada ya droo iliyochezeshwa makao makuu ya SportPesa Oysterbay, Jijini Dar-Es-Salaam, Meneja Uhusiano wa kampuni ya SportPesa Sabrina Msuya anasema leo imechezeshwa droo ya pili katika wiki ya pili ya Bet Bonanza ambapo wateja wa Vodacom,Airtel na Halotel wamejishindia vitita hivi vya shilingi milioni moja moja kwa kila mmoja.

‘’Kama mnavyofahamu leo imechezeshwa droo yetu ya pili ya wiki ya Bet Bonanza ambapo wateja watatu kutoka Mkuranga -Pwani, Manyoni Singida na Dumila, wameshinda shilingi milioni moja moja, baada ya kubashiri na na kuibuka washindi wa Bet Bonanza ya Sportpesa.

Baadhi ya mabalozi wa Sportpesa(Meena Ally, MC Gara B na Frank Charles Gibebe) walioshiriki kwenye droo ya pili ya promosheni ya Bet Bonanza wiki hii. Kushoto ni Meneja Mauzo Biashara- Mpesa Kelvin Nyanda na wa pili kulia ni Meneja Mauzo Airtel Mobey- Biashara Aggrey Charles. Washindi watatu wa 1,000,000/- kutoka mitandao ya Airtel, Vodacom na Halotel walitangazwa mara baada ya droo.

Akiongea kwa niaba ya Vodacom, Meneja Mauzo wa M-Pesa, kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Kelvin Nyanda alisema wachezaji wa SportPesa ambao wanatumia laini za simu za Vodacom hawana budi kuiga mfano wawenzao ambao wameshinda kwa kucheza na kuingia kwenye droo ili na wao washinde.

‘’Ninapenda kuwahamasisha watanzania wenzangu hususani wateja wetu wa Vodacom kuchangamkia fursa hii. Mmoja wa washindi wa leo Charles Joseph ameshinda milioni moja hivyo basi iwe chachu kwa wengine kushiriki kadiri wawezavyo.

Kuweka pesa SportPesa kupitia M-Pesa, ingia kwenye menyu ya malipo ya M-Pesa kisha chagua lipa bili, halafu michezo, kisha SportPesa, halafu fuata maelezo.

Naye Meneja biashara kutoaka Airtel Aggrey Charles alisema wateja wa Airtel wajitahidi kucheza ili kushinda zawadi hizi za Bet Bonanza kama ambavyo mshindi Masoud Abdalla wa Mkuranga alivyoshinda milioni moja.

‘’Hii ni wiki ya pili na ninayofuraha kuona mshindi wa Milioni moja kutoka Airtel amepatikana. Hii sio hela ndogo hivyo nawaasa wateja wetu waendelee kucheza na Sportpesa ili washinde zawadi hizi za Bet Bonanza.

‘’Nawasisitiza wateja wetu wajisajili na sportpesa kisha waweke pesa kwa Airtel Money au kwa kutumia app yetu na baada ya hapo utaingia kwenye droo za kila siku na wiki kama hii ya leo ya milioni 1’’.

Kwa wale ambao hawakushinda wasikate tamaa kwani promosheni bado inaendelea kila siku hivyo waendelee kucheza.

Ikumbukwe promosheni hii ilizinduliwa rasmi siku ya tarehe 8 Machi ya wiki iliyopita inajumuisha zawadi za shilingi elfu 20 kila siku, zawadi za milioni moja moja kwa washindi watatu kila wiki na zawadi ya milioni 15,888,000 siku ya kufunga kampeni.

Kufahamu zaidi kuhusu Sportpesa bonyeza hapa:

 

 

Share this:
Back To Top