MKULIMA KALIUA ALAMBA 10,681,562 JACKPOT BONUS YA SPORTPESA
SH 10,681,562 JACKPOT BONUS YA SPORTPESA Mkulima wa mpunga, kutoka wilaya ya Kaliua, Tabora Peter Andrew Dotto, ameshinda Sh 10,681,562, katika Jackpot Bonus ya Sportpesa ya katikati ya wiki, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13.…