Switzerland 4-0 Scotland: UEFA Nations League Highlits, matokeo, na habari za timu
- UEFA Nations League imezidi kushika kasi ambapo jana Jumatatu kulikuwa na mechi kali iliyoisha kwa matokeo ya Switzerland 4-0 Scotland.
- Mechi hii ni mechi ya Kundi E la mashindano hayo, ambayo ilipigwa saa 4:45 usiku.
- Ni mabao ya, Lewis Ferguson 22′ (OG), Winsley Boteli 47′, Alvyn Sanches 51′ na Zeki Amdouni 89 ndiyo yalizamisha jahazi la Scotland.
- Makala hii inachambua kwa ufupi matokeo ya mchezo huu.
Mashindano ya UEFA Nations League yanazidi kushika kasi ambapo jana Jumatatu kulikuwa na mechi kali, iliyoisha kwa matokeo ya Switzerland 4-0 Scotland. Mechi hii ni mechi ya Kundi E la mashindano hayo, ambayo ilipigwa saa 4:45 usiku. Ni mabao ya, Lewis Ferguson 22′ (OG), Winsley Boteli 47′, Alvyn Sanches 51′ na Zeki Amdouni 89 ndiyo yalizamisha jahazi la Scotland.
SOMA HII PIA: Switzerland 3-0 North Macedonia UEFA Nations League 2026/27 | Highlights | SportPesa Blog
Mabao na matukio muhimu

Switzerland ilianza mchezo kwa kasi, ikionyesha nia ya kushambulia tangu mwanzo. Baada ya jitihada kadhaa, Switzerland walipata bao la kuongoza kutokana na makosa ya Lewis Ferguson aliyejifunga dakika ya 22. Switzerland waliongeza kasi ya mashambulizi na kupata bao la 2 kupitia kwa, Winsley Boteli dakika ya 47. Kipindi cha kwanza kikaisha hivyo.
Kipindi cha pili, Alvyn Sanches 51′ na Zeki Amdouni 89 walimalizia karamu ya mabao. Japo Scotland walijaribu kurejea mchezoni kipindi cha pili lakini hawakufanikiwa. Mpaka filimbi ya dakika 90 inapulizwa matokeo yalisalia kuwa 4-0.
Shinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa, cheza kindege ‘Aviator’ ya SportPesa gusa hapa chini
Athari kwa msimamo wa kundi E

Ushindi huu wa 4-0 unaimarisha nafasi ya Switzerland katika Kundi E la UEFA Nations League. Wamekusanya pointi 16 mpaka sasa ambazo zinawaweka kileleni mwa msimamo. Kipigo hiko kinawafanya Scotland wasalie na pointi zao 7 tu walizokusanya kwenye mechi 6.
SOMA HII PIA: Scotland vs Morocco Kombe la Dunia 2026: prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds
Hitimisho

Switzerland 4-0 Scotland ni mchezo ambao umethibitisha ubora wa wenyeji kwa msimu huu wa UEFA Nations League. Matokeo haya yanaonyesha uwezo wao wa kufunga mabao na kujilinda, na yanawapa motisha mkubwa kuelekea michezo ijayo. Mashabiki wa soka wanatarajia kuona nini kitatokea katika michezo inayofuata ya UEFA Nations League. Endelea kufuatilia SportPesa Blog.


