- Dakika 90 ubao umesoma Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC NBC Premier League 2026/27 mzunguko wa 11.
- Pambano hili la kukata na shoka limepigwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Oktoba 31,2026.
- Coastal Union walikuwa imara kwenye umiliki, nidhamu ya mlinda mlango Chuma Mgeni ikiwalinda.
FT:Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC NBC Premier League 2026/27.Pambano hili kali limepigwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma, hakuna mbabe.Kila timu imevuna pointi mojamoja baada ya dakika 90 kukamilika,Oktoba 31,2026.
SOMA HII PIA:Coastal Union: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27
Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Dodoma Jiji FC 0-0 Coastal Union taarifa
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Matokeo | Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC |
| Uwanja | Mkwakwani,Tanga |
| Tarehe | 31/10/2026 |
| Timu mwenyeji | Coastal Union |
Takwimu za dakika 90
| Kipengele | Coastal Union | Dodoma Jiji FC |
| Mabao | 0 | 0 |
| Krosi | 9 | 10 |
| Umiliki | 60% | 40% |
| Pasi | 367 | 293 |
| Kona | 3 | 2 |
Wagosi wa Kaya walikuwa katika ubora wakiongoza kwenye umiliki na kufanya mashambulizi kwa wapinzani.Kwa mujibu wa takwimu za Sokametrics inaonyesha Coastal Union walipiga jumla ya kona 3 na wapinzani 2.Katika umiliki ni asilimia 60 kwa 40.
SOMA HII PIA:Coastal Union FC: History, Squad, Fixtures, and Latest Updates
Hitimisho
Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC matokeo ya pambano kali la NBC Premier League.Chuma Mgeni wa Coastal Union alikuwa imara langoni akiokoa hatari 3.Kiungo wa Dodoma Jiji FC Herve Beya alitawala kwenye eneo hilo na alitumia dakika 90 akiwa kwenye kiwango.

