Chelsea 2-0 Manchester United |Palmer, Rodgers waiangamiza United, Highlights, magoli, Livescore, habari za timu

MatokeoMatokeoMatokeo

Chelsea 2-0 Manchester United |Palmer, Rodgers waiangamiza United, Highlights, magoli, Livescore, habari za timu

  • Hali inazidi kuwa mbaya kwa mashetani wekundu, hii ni baada ya ubao wa uwanja wa Stamford Bridge kuonyesha matokeo ya Chelsea 2-0 Manchester United.
  • Mechi hii inakuwa mechi ya 9 bila ushindi kwa Manchester United.
  • Hali hii inamuweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo Michael Carrick, ambaye kabla ya mchezo huu alikuwa kwenye hatari ya kufutwa kazi.
  • Makala hii inachambua kwa picha baadhi ya matukio ‘highlights’ muhimu za mchezo huu.

Jinamizi la matokeo mabaya linaendelea kuwaumiza Mashetani wekundu, hii ni baada ya leo ubao wa uwanja wa Stamford Bridge kuonyesha matokeo ya Chelsea 2-0 Manchester United. Mechi hii inakuwa mechi ya 9 bila ushindi kwa Manchester United. Matokeo haya yanamuweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo Michael Carrick, ambaye kabla ya mchezo huu alikuwa kwenye hatari ya kufutwa kazi.

SOMA HII PIA: Manchester United: Ratiba, kikosi, usajili na matarajio msimu wa 2026/27

Kipindi cha kwanza Chelsea 0-0 Manchester United

Chelsea 2-0 Manchester United
Bruno

Timu zote mbili zilianza kwa kasi mchezo kujaribu kusaka bao la mapema. lIcha ya jitihada kadhaa kwa kila upande, lakini hakua timu iliyofanikiwa kuona lango la mpinzani wake. Filimbi ya kuashiria kumalizika kwa kipindi cha kwanza ilipopulizwa matokeo yalikuwa 0-0.

Shinda mpaka shilingi Milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapa chini 

image
Win big with Sportpesa Aviator

Kipindi cha pili  Chelsea 2-0 Manchester United

Matokeo
Matokeo

Kipindi cha pili timu zote zilianza kwa nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa kipindi cha kwanza, hii ni kutokana na maelekezo ya makocha wa timu hiyo. Kwa Chelsea jitihada zao zililipa baada ya dakika ya 50 nyota wa Chelsea kufunga bao la kuongoza. dakika ya 63, mlinzi wa United, Lisandro alionyeshwa kadi nyekundu kwa mchezo usio wa kiungwana ndani ya 18 na kuwa Penalti. Dakika ya 64, Coe Palmer aliiandikia Chelsea bao la pili kupitia mkwaju wa Penalti.

SOMA HII PIA: Chelsea vs Manchester United: EPL, Live score, h2h, Lineups, prediction na habari za timu

Hitimisho

Kipigo hiko kinawafanya Manchester United waporomoke hadi nafasi ya 17 ya msimamo baada ya ukusanya pointi 7. Chelsea wao wanapanda hadi nafasi ya 4 ya msimamo baada ya kukusanya pointi  16. Ni wazi kuwa muda wowote kutoka sasa huenda maamuzi magumu yakafanyika ndani ya kikosi cha United. Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.