Ethiopia vs Senegal Kufuzu AFCON 2027 | H2H | Fomu ya timu | Utabiri

Ethiopia vs SenegalEthiopia vs SenegalEthiopia vs Senegal

Ethiopia vs Senegal
Sadio Mane nyota wa timu ya taifa ya Senegal

Ethiopia vs Senegal ni mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, Uwanja wa Bahir Dar. Ethiopia inatafuta kurejesha matumaini yao baada ya kuanza vibaya, huku Senegal, mabingwa wa zamani, wakilenga kuendeleza rekodi yao nzuri na kujihakikishia nafasi mapema kufuzu. Huu ni mchezo wa Kundi J unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

SOMA HII PIA: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau AFCON 2027 | H2H | Highlights | SportPesa Blog

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Screenshot ---------- ------
 

Ethiopia vs Senegal taarifa muhimu

Kipengele Maelekezo
Mashindano AFCON 2027
Mchezo Ethiopia vs Senegal
Siku Jumanne
Uwanja Bahir Dar
Muda Saa 10:00 jioni

 

H2H Ethiopia vs Senegal

Historia ya michezo kati ya Ethiopia na Senegal inaonyesha ubora wa Senegal. Katika mechi za hivi karibuni za kufuzu, Ethiopia ilipoteza dhidi ya Sudan kwa bao 1-0. Hii inaweka shinikizo kwao kuhakikisha wanapata matokeo chanya nyumbani. Senegal katika mechi 5 zilizopita ushindi ni mechi moja, imepoteza mechi 3 na sare 1.

Senegal, kwa upande mwingine, wamekuwa na fomu nzuri katika mashindano ya kimataifa. Wana kikosi chenye uzoefu na uwezo wa kushinda mechi muhimu. Fomu yao ya sasa inawapa faida ya kisaikolojia kabla ya mchezo huu. Kwenye mechi 5 zilizopita, Ethiopia amepata ushindi mechi 3, sare moja na kipigo mchezo mmoja.

Ethiopia vs Senegal fomu ya timu

Ethiopia Senegal
Sudan 1-0 Ethiopia Mozambique 1-1 Senegal
Ethiopia 1-1 Malawai Belgium 3-2 Senegal
Malawi 1-0 Ethiopia Senegal 5-0 Iraq
Ethiopia 1-0 Sao Tome e Principe Norway 3-2 Senegal
Sao Tome e Principe 0-3 Ethiopia France 3-1 Senegal

Utabiri na mtazamo wa wahariri

Kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wa kimataifa, Senegal wanaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu. Hata hivyo, Ethiopia wakiwa nyumbani wanaweza kutoa upinzani mkali na kutafuta angalau sare. Tunatarajia mchezo wa kusisimua na ushindani mkali. Senegal wanapendelewa kushinda, lakini Ethiopia wanaweza kusababisha mshangao ikiwa watacheza kwa nidhamu na kutumia vyema nafasi watakazopata.

SOMA HII PIA:Madagascar vs Taifa Stars: AFCON 2027 | H2H | Prediction

Hitimisho

Ethiopia vs Senegal ni fursa kwa timu zote mbili kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu AFCON 2027. Senegal imekuwa imara kwenye mechi za kimataifa, Ethiopia watajitahidi kutumia faida ya uwanja wa nyumbani. Mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu.

Share this: