Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026Uswisi vs Algeria
  • Wanakutana Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 32 bora Julai 3,2026
  • Saa 12:00 asubuhi kwa Afrika Mashariki kwa wababe kusaka tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora
  • SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi, h2h na taarifa kuhusu timu

Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026 wanakutana katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu utachezwa kwenye Uwanja wa BC Place, Vancouver. Timu zote mbili zinatafuta tiketi ya kufuzu hatua ya 16 boraJulai 3, 2026.

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Uswisi vs Algeria angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Algeria
Switzerland vs Algeria

Taarifa za mechi

MashindanoFIFA Kombe la Dunia 2026
MechiUswisi vs Algeria
Hatua32 bora
UwanjaBC Place, Vancouver, Canada
SikuIjumaa
TareheJulai 3, 2026
SaaSaa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki – EAT)
Jukwaa la kubashiriSportPesa

Uswisi vs Algeria taarifa za timu

Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026
Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026

Uswisi walifuzu kama vinara wa Kundi B baada ya kukusanya pointi saba katika mechi tatu za makundi. Kikosi cha Murat Yakin kimejijengea sifa ya kuwa miongoni mwa timu thabiti zaidi kwenye mashindano haya. Walifungua kampeni kwa sare, kisha wakashinda mechi mbili mfululizo dhidi ya Bosnia na Herzegovina na wenyeji Canada, wakimaliza juu ya kundi lao wakiwa na mabao saba yaliyofungwa na matatu pekee yaliyofungwa.

Kwa upande wa Algeria, walipata nafasi ya kufuzu kama moja ya timu bora zilizomaliza nafasi ya tatu, baada ya kumaliza nyuma ya Argentina na Austria katika Kundi J. Hii ni hatua muhimu kwao kwani wanataka kuendeleza historia yao ya kushiriki mara kwa mara katika mashindano makubwa.

Taarifa ya kikosi cha Uswisi

 Habari za kikosi cha Uswisi Uswisi wana wasiwasi mmoja pekee wa majeraha kabla ya mechi, beki mwenye uzoefu Silvan Widmer bado anapona jeraha la nyonga. Ikiwa hatakuwa tayari, Luca Jaquez anatarajiwa kuendelea katika nafasi ya beki wa kulia.

  • Manuel Akanji na Nico Elvedi wanatarajiwa kuongoza safu ya ulinzi.
  • Granit Xhaka ataongoza kiungo akishirikiana na Remo Freuler kudhibiti mchezo.
  • Breel Embolo anatarajiwa kuongoza mashambulizi akisaidiwa na Ruben Vargas na Johan Manzambi.

Taarifa za kikosi cha Algeria

Habari za kikosi cha Algeria Algeria wanaingia mechi hii wakiwa na morali ya juu baada ya kufuzu kwa mara ya pili katika historia yao ya Kombe la Dunia. Riyad Mahrez ataendelea kuwa injini ya ubunifu, huku Amine Gouiri, Ibrahim Maza, na Farès Chaïbi wakiongeza kasi na ubora wa mashambulizi.

Prediction lineups

  • Uswisi: Kobel; Jaquez, Elvedi, Akanji, Rodriguez; Freuler, Xhaka; Sow, Manzambi, Vargas; Embolo
  • Algeria: Luca Zidane; Belghali, Mandi, Bensebaini, Ait-Nouri; Boudaoui, Bentaleb; Mahrez, Maza, Chaïbi; Gouiri

H2H Uswisi vs Algeria

Uswisi na Algeria wamekutana mara mbili pekee hapo awali, zote zikiwa mechi za kirafiki za kimataifa mnamo 1983 na 1986, ambapo Uswisi walishinda zote. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa mataifa haya kukutana katika mashindano rasmi.

Uswisi wanaingia mechi hii wakiwa na hali bora, hawajapoteza katika mechi zao tisa za ushindani zilizopita na wameshinda sita kati ya hizo.

Prediction Uswisi vs Algeria

Ulinzi wa Uswisi umeonyesha uimara wa kipekee, kwani wamefungwa zaidi ya bao moja katika mechi moja pekee kati ya 14 zilizopita kwenye mashindano yote. Nidhamu yao ya kiufundi na uzoefu mkubwa wa kushiriki Kombe la Dunia huwapa faida ya kudhibiti mchezo na kumiliki mpira kwa muda mrefu.

Kwa upande wa Algeria, wanaingia mechi hii wakiwa na kujiamini baada ya kupoteza mara moja pekee katika michezo yao saba ya mwisho. Ushindi wao wa kusisimua dhidi ya Jordan na sare ya mabao 3-3 dhidi ya Austria umeonyesha ubora wao wa kushambulia, ingawa mapungufu ya ulinzi bado ni changamoto baada ya kufungwa mabao sita katika hatua ya makundi.

Uswisi wanapewa nafasi kubwa kushinda. Ni aslimia 47 huku Algeria wakipewa asilimia 24. Utabiri wa mechi kufika muda wa nyongeza ni asilimia 29. Matokeo ni Uswisi 3-1 Algeria, haya ni maoni ya mhariri na sio matokeo kamili.

Algeria
Switzerland vs Algeria

Namna ya kubashiri kupitia SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio la Uswisi vs Algeria kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Share this: