Yanga SC vs Namungo FCYanga SC vs Namungo FC
  • Yanga SC vs Namungo FC, mechi nyingine inayokwenda kuamua hatima ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara (NBC Premier League), msimu huu.
  • Mechi hii inatarajiwa kupigwa leo Jumatatu 25/5/2026, katika Uwanja wa KMC.
  • Yanga SC wataingia katika mchezo huu huku wakiendelea kupokea presha kubwa, kutoka kwa watani zao Simba SC wanaoongoza ligi na idadi ya mchezo.

Vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), itaendelea tena leo Jumatatu 25/5/2026, ambapo ratiba inaonyesha Yanga SC vs Namungo FC. Yanga SC ambao ndio mbingwa watetezi, itakuwa kibaruani kutetea ubingwa katika Uwanja wa KMC. Yanga SC wataingia katika mchezo huu huku wakiendelea kupokea presha kubwa, kutoka kwa watani zao Simba SC walio nafasi ya pili.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Ligi Kuu ya NBC 2025/26; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog.

Bado hujashinda? Cheza, ushinde na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.
Aviator: High-flying wins up to 800,000,000.

Hiki hapa kikosi cha Yanga SC vs Namungo FC

Yanga SC vs Namungo FC
Yanga SC vs Namungo FC

kikosi cha Yanga SC kimefika uwanjani

Maxi Nzengeli (-)
Maxi Nzengeli

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.