- Hapa tumekuletea ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2025/26 wakiwa ni mabingwa watetezi wa taji hilo
- Matokeo ya mechi iliyopita ilikuwa Yanga SC 3-0 Singida Black Stars huku Allan Okello akichaguliwa kuwa Man of the Match.
- Mabingwa watetezi wana michezo migumu iliyobaki katika Ligi Kuu Bara ikiwemo Yanga SC vs Namungo FC, Yanga SC vs Azam FC na JKT Tanzania vs Yanga SC.
Tumekuletea ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2025/26 wakiwa ni mabingwa watetezi wa taji hilo. Matokeo ya mechi iliyopita ilikuwa Yanga SC 3-0 Singida Black Stars huku Allan Okello akichaguliwa kuwa Man of the Match. Bakari Nondo nahodha wa timu hiyo amesema : “Hatuangalii mechi za wengine kila mtu ashinde mechi zake, ushindani ni mkubwa nasi tunafanya maandalizi mazuri,”.
SOMA HII: Ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC NBC Premier League 2025/26 | SportPesa Blog
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Hii hapa ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2025/26

SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores

Ni ratiba ya Yanga SC NBC Premier League mechi za lala salama. Mechi ngumu za kukamilisha msimu zinachezwa kwa mabingwa watetezi kupambania kombe. Kila timu inafanya maandalizi kukamilisha malengo yake. Je Yanga SC watabeba taji hilo kwa mara nyingine tena?
Mechi zijazo kwa Yanga SC NBC Premier League
| Tarehe | Timu Zinazocheza | Uwanja |
|---|---|---|
| 25 Mei 2026 | Yanga SC vs Namungo FC | KMC Complex |
| 13 Juni 2026 | Mashujaa FC vs Yanga SC | Lake Tanganyika |
| 17 Juni 2026 | Fountain Gate vs Yanga SC | Sheikh Amri Abeid |
| 24 Juni 2026 | Yanga SC vs Azam FC | KMC Complex |
| 27 Juni 2026 | Yanga SC vs TRA United | KMC Complex |
| 30 Juni 2026 | JKT Tanzania vs Yanga SC | Meja Jenerali Isamuhyo |
Yanga SC mchezo wa funga kazi itakuwa ugenini dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo. Mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa ni ule dhidi ya Azam FC akiwa nyumbani. Nani ataaibuka mbabe kwenye mchezo ujao? Matokeo ya punde tutakusogezea hapa.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni moto | Mechi 5 NBC Premier League ugenini | Msimamo, matokeo
Hitimisho
Katika ratiba ya Yanga SC NBC Premier League ni wapinzani wagumu. Wakusanya mapato TRA United mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu kwa kutofungana. Mashujaa watakuwa nyumbani, Uwanja wa Lake Tanganyika ni kazi juu ya kazi. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa taarifa za hivi punde.

