Matokeo NBC Premier League | Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Man of The Match | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

September 8, 2026
Matokeo ya mzunguko wa 5SeleeSelee
  • Matokeo ya hivi karibuni Fountain Gate 0-2 Yanga SC umewarejesha nafasi ya kwanza mabingwa watetezi, wakishinda mechi 5 mfululizo.
  • Coastal Union imepata ushindi wa kwanza ikiichapa Polisi Tanzania mabao 2-1 katika mchezo wa mzunguko wa 5.
  • TRA United wamesitisha mkataba wa Etienne Ndayiragije aliyekuwa anakinoa kikosi hicho msimu mpya wa 2026/27
  • SportPesa Blog tumekuletea matokeo ya mzunguko wa 5, Man of The Match na wafungaji.

Hapa tunakuletea matokeo ya NBC Premier League mzunguko wa 5 kwa msimu wa 2026/27. Yamefungwa jumla ya mabao 18 ndani ya uwanja. Singida Black Stars 3-2 Namungo FC umekusanya mabao mengi zaidi ambayo ni matano. JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji FC ni rekodi ya timu iliyopata ushindi mkubwa.

Matokeo ya Mzunguko wa 5
Ndayiragije aliyekuwa Kocha Mkuu wa TRA United.

Ijue ratiba ya ligi: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi

Matokeo mzunguko wa 5 NBC Premier League, wafungaji na Man of The Match

TareheMatokeoWafungajiUwanjaMan of The Match
Agosti 31,2026Fountain Gate 0-2 Yanga SCPeter Shalulile dakika ya 26 na Mudathir Yahya dakika ya 76.Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Maxi Nzengeli
Agosti 31,2026Simba SC 2-0 Geita GoldClatous Chama dakika ya 22, Libase Gueye dakika ya 58Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo Gueye
Septemba Mosi, 2026Kagera Sugar 0-2 Azam FCZidane Sereri dakika ya 16 na Feisal Salum dakika ya 22Uwanja wa KaitabaFeisal
Septemba Mosi, 2026Singida Black Stars 3-2 Namungo FCMohamed Damaro dakika ya 35, Exauce Nzaou dakika ya 55 na Marcel Canadi dakika ya 71 kwa Namungo FC ni Benjamin Tanimu dakika ya 18 OG na Rogers Ganriel dakika ya 49 penalti.Uwanja wa AirtelDamaro
Septemba 4,2026TRA United 0.0 Mbeya CityUwanja wa Sheikh Amri Abeid Nasri Kombo wa TRA United
Septemba 4,2026Dodoma Jiji 1-0 Mashujaa FCMfungaji ni Beno Ngassa dakika ya 72Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
Ngassa
Septemba 5,2026
JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji FCPaul Peter dakika ya 9, Mohamed Bakari dakika ya 15 na 31Meja Jeneral Isamuhyo Bakari.
Septemba 6,2026Polisi Tanzania 1-2 Coastal UnionAnuary Jabir dakika ya 48, mabao ya Coastal Union mfungaji ni Maabad Maulid dakika ya 3 na 23 kwa mkwaju wa penalti.Sheikh Amri AbeidMaabad

Coastal Union wazinduka raundi ya 5

Kutoka Tanga, Wagosi wa Kaya wamezinduka raundi ya 5. Katika mechi 4 za mwanzo timu ya Coastal Union haikupata ushindi. Mchezo wa kwanza kushindi ilikuwa ugenini dhidi ya Polisi Tanzania.

Ndayiragije asitishiwa mkataba

Etienne Ndayiragije aliyekuwa Kocha Mkuu wa TRA United amesitishiwa mkataba wake mara baada ya mchezo wa mzunguko wa 5 kukamilika. Taarifa rasmi iliyotolewa Septemba 7, 2026 ilieleza kuwa wamefikia makubaliano ya pande zote mbili.Mchezo wa mwisho kukaa benchi ilikuwa TRA United 0-0 Mbeya City.

Msimamo

Matokeo ya NBC Mzunguko wa 5
Msimamo wa NBC Premier League mzunguko wa 5

Yajue matokeo ya Simba SC: Simba SC: Matokeo, Ratiba na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27

Hitimisho

Matokeo ya mzunguko wa 5 yamekuwa yenye kushangaza kutokana na ushindani kuzidi kuwa mkali. TRA United inakuwa timu ya kwanza kusitisha mkataba ndani ya msimu wa 2026/27. Coastal Union imepata ushindi wake wa kwanza ikiwa ugenini.

Share this: